Mgomo mkubwa UDSM.

Mgomo mkubwa UDSM.

Hamna hela....hela tumesherehekea miaka 50 ya nchi ambayo haipo
 
broo 2pen updates achana na hawa mapuppet wa humu jamvini......vp Mukandala na wenzake mmeshachonga nao?......

nishaachana nao mkuu!
Mukandala nahisi amegoma kuja, sasa hivi wanaharakati wanatoa nasaha zao hapa.
Mwanaharakati wa kike, Hellen Mushi is on session...
 
Kazeni buti vijana maana hii serikali bila style hii haiendi kabisa
 
Ajenda za kunji zimefanikiwa.
Pesa imeingia mu-akaunti, na Mukandala ameridhia wadau kurudishwa masomoni.
Thanx to mwanaharati Al-Shaabab...
 
Poleni sana Watoto wa nchi hii mnaosoma katika mazingira magumu huku watoto wa Magogo wakiwa nje ya nchi, Mungu atawasaidia. Naomba tupatie update hali ikoje kwa sasa? Mukandala ameshuka na hao wapambe wake. Msimamo ni upi?
 
Ni kuhusu haki ya wanafunzi waliofukuzwa na hatma ya fedha ya kujikimu.
Chezo limeanza mida ya saa 4 hivi, FFU wametanda eneo la chuo tayari kuwapiga mabomu wanafunzi.
Source: niko eneo la tukio

Kwa nini selekale haiwajali hawa wanafunzi?
Si wawape mikopo juzi wametumia bilioni 64 eti sherehe za uhuru inatia hasira sana
 
weka gamba tujue ni chuo gani ulisoma maana isijekuwa ulidisco ukaenda kumalizia KIU
 
Wakuu mliepo eneo hilo tupeni updates nn kimeendelea mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom