Tetesi: Mgomo mkubwa wa madereva wanukia, wasafiri jiandaeni

Polisi walishasema sheria haimuelekezi dereva kusimama katika zebra kama hakuna mtu.
Hata control room ukiwapigia kwa namba kwa namba za katika stika ya usalama barabarani wataeleza hivyo.
Mgomo labda utokane na kanuni mpya za usalama barabarani.
Kuna madereva kibao waliopigwa faini sababu hawakusimama kwenye zebra. Na lilikuwa Zoezi maalum lililosimamiwa na makao makuu. Kwenye hili jeshi la polisi limejichanganya sana. Na kutofautiana kauli kuhusu hili kumetokea mara nyingi tu
 
Ni kweli walijichanganya ila hali iko kama nilivyoandika awali.
 
Back
Top Bottom