Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mambo miss you lini unakuja mitaa hii nikuppe ofa sasa ni zamu yangu kumwaga ofaSiri imefuchuka
Duh malori siyo? Maanasidhani kama wataachia mabasi yao ya kuwapeleka kaziniMakampuni yatakayo goma yatafutiwa leseni, gari za jeshi zitaingia kazini
Kuna madereva kibao waliopigwa faini sababu hawakusimama kwenye zebra. Na lilikuwa Zoezi maalum lililosimamiwa na makao makuu. Kwenye hili jeshi la polisi limejichanganya sana. Na kutofautiana kauli kuhusu hili kumetokea mara nyingi tuPolisi walishasema sheria haimuelekezi dereva kusimama katika zebra kama hakuna mtu.
Hata control room ukiwapigia kwa namba kwa namba za katika stika ya usalama barabarani wataeleza hivyo.
Mgomo labda utokane na kanuni mpya za usalama barabarani.
Hivi, mi najiuliza, siku hizi kuna watu wanafanya mambo ili wasikike?Au ndiyo ile kitu wanaita kiki. Sijui alitegemea nini mtoa amri hiyoYaani nisimame kwenye zebra bila ya kuwa na mtu, tunafanyana machizi?
Kuna madereva kibao waliopigwa faini sababu hawakusimama kwenye zebra. Na lilikuwa Zoezi maalum lililosimamiwa na makao makuu. Kwenye hili jeshi la polisi limejichanganya sana. Na kutofautiana kauli kuhusu hili kumetokea mara nyingi tu