Mgomo Ruaha Catholic University


ww unasema ivo kwa sababu umepata pesa,, ss sisi hata hatujasain,, na tumeshamaliza mitihani,, yaan tuendelee kukaa chuo et tukisubir kusain,, ujinga kama huu hatukubali
 
ww unasema ivo kwa sababu umepata pesa,, ss sisi hata hatujasain,, na tumeshamaliza mitihani,, yaan tuendelee kukaa chuo et tukisubir kusain,, ujinga kama huu hatukubali

Pesa za field sio lazima msaini acha mchecheto first year.
 

Hapana kwa sasa hakiendeshwi Mwanza, angalia hata organisation structure yake imebadilika. Dr. Mgimwa ambaye alikuwa principal, kwa sasa ni Vice Chancellor.

[h=2]RUCU Principal Officers[/h]
[TABLE="width: 700"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]Rev. Dr. Cephas Mgimwa
Vice Chancellor (VC)[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Prof. Gaudens P.Mpangala
Deputy Vice Chancellor Academic Affairs: (DVCAA)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

[/TD]
[TD]Rev. Fr. Angelo Dutto
Deputy Vice Chancellor Finance and Administration: (DVCFA)[/TD]
[TD]

[/TD]
[TD]Rev. Fr. Kevin Haule
Assistant to the Deputy Vice Chancellor Finance and Administration[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

[/TD]
[TD]Dr. Sylivano C. N. Kitinya
Dean Faculty of ICT[/TD]
[TD]

[/TD]
[TD]Mr. Carl A. Mmuni
Associate Dean, Faculty of ICT, Acting Director of Post Graduate Studies, Research, Consultancy and Publications[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

[/TD]
[TD]Dr. Lilian Mongella
Ag. Dean Faculty of Law[/TD]
[TD]

[/TD]
[TD]Judge (Rtd.) Raymond J. Mwaikasu
Associate Dean, Faculty of Law[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Si kweli kwamba kila kitu kinaendeshwa na main campus Mwanza. It is a fully fledged University with its Chancellor hata kama ni wale wale but it is no longer under St. Augustine. So wana mamlaka nyingine nje na St. Augustine inayofanya maamuzi.
 

mnabahati fr kitima hayupo siku hizi.. uwepo wa hao watu ni kama msaada wa chuo ila sio wajibu wao kuhakikisha mnapata mkopo.
kwani joining instruction inasemaje?
 

Acheni ubushi wadogo zangu. Uvumilivu ndo silaha kubwa.
 

Umenena vema mkuu. wafate ushauri wako mkuu.
 

Waambie Kaka.
 
Maandamano yamshazimwa madogo pigeni shule
 
Sio RUCO ni RUCU. mkuu

usipende kuwa mbishi kama teja...hivi hicho chuo umekijua jana au leo hii?
F.Y.I kilikuwa kikiitwa "RUAHA UNIVERSITY COLLEGE- (RUCO),
kipo mkoani Iringa oposite na sheri ya mafuta ya sasa au ilipokuwa CRDB zamani, karibu na ukumbi wa mokosa (makosa cats) ya zamani nearby maktaba ya mkoa wa Iringa. Pia waweza kuingilia kule mbele karibu ya benki ya NMB na majengo ya RETCO . Kwa kasakazini imepaka na shule ya msingi wilolesi. Pia chuo hicho kina tumia yaliyokuwa majengo ya DR.Amon Nsekela (R.I.P).
I am standing to be corrected if i have said something wrong......
 
Ni haki yenu kisheria kuandamana,lakini mfuate sheria,Mh.Pinda kachoka maandamano kila siku.Mtapigwa tu.
Nawashauri mkae mezani na wakubwa mmalize swala lenu kiutuuzima.Hata sisi tunaitarajia kuja vyuo vikuu kupata elimu ya juu tusikatishwe tamaa na migomo na matokeo ya migomo
 

mkuu ww ndio mbishi ss,, mimi nasoma hapa mwaka wa pili,, chuo hiki kinaitwa ruaha Catholic university,, lkn hapo nyuma kiliitwa ruaha university college , ss hivi ni chuo kinachojitegemea hakipo tena chin ya SAUT
 

Acha upumbavu mi sio teja. Nimekurekebisha kwamba sio RUCO ni RUCU ww unakomaa kunipa location. Napajua sana . Nakurekebisha tena sio RUCO ni RUCU. Ruco ilikuwa zamani..
 
Acha upumbavu mi sio teja. Nimekurekebisha kwamba sio RUCO ni RUCU ww unakomaa kunipa location. Napajua sana . Nakurekebisha tena sio RUCO ni RUCU. Ruco ilikuwa zamani..

acha kushupaaa mkuu, utaKe usitake chuo hicho kilikuwa kinaitwa RUCO ila kwa hivi karibuni kimebdilishwa na kuitwa RUCU a.k.a LUKU.

mkuu ww ndio mbishi ss,, mimi nasoma hapa mwaka wa pili,, chuo hiki kinaitwa ruaha Catholic university,, lkn hapo nyuma kiliitwa ruaha university college , ss hivi ni chuo kinachojitegemea hakipo tena chin ya SAUT
unacho kisema ni kweli mkuu hilo jina ni la hivi karibuni tu (sijui hata kama lina zid miaka 3 toka lianze kutumika)....ila mimi nilikuwa nina muweka sawa ndezi mjamaa kuwa akipata chungu kipya asitupe kile cha zamani, pia anajifanya kusahau ingawa ukweli anaujua.
 
we jamaa ndio four kabisa,, utapate pesa bila kusain,, na kwa taarifa yako mi sio first year

Wewe huna unawaza kugoma tu unafiki Waromani wanabembeleza mtu na kama hujui kitu piga kimya kuliko kujifanya unajua kumbe hujui pesa ya field unawekewa hata ukiwa hujasaini ukirudi toka field ndo unasaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…