mkuu unaanza kuleta udin ss
udini unatoka wapi kwan wewe ulipochagua hicho chuo hukujua ni cha wakatoliki ndo wenye chuo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu unaanza kuleta udin ss
Hivi Kamanda Kamuhanda ameshahamishwa Iringa?
Msikariri kuwa maandamano ndio suluhisho.
Field wasema mnaanza tar 12
sasa maandamano ya nini tarehe hizi?
Huku Mwenge Catholic university sijawahi sikia huu ujinga wa maandamano maana yameprove failure kwenye vyuo vingi.
Tumetulia tu field tunaanza tarehe 9 febr, hela ya field tumepewa juzi.
Achaneni na inshu za maandamano zitawagharimu.
ww unasema ivo kwa sababu umepata pesa,, ss sisi hata hatujasain,, na tumeshamaliza mitihani,, yaan tuendelee kukaa chuo et tukisubir kusain,, ujinga kama huu hatukubali
Kila kitu kinaendeshwa na Main Campus (Mwanza) hata baada ya kujitegemea, Mf. Nani awe mkuu wa chuo na sehemu ya mishahara ya wafanyakazi. Wakiandamana watafukuzwa wote au waitie polisi wapigwe. Mkuu wa chuo alisha sema eti bodi ya mikopo si babao yao (Baba wa wanafunzi).
Hakuna Migomo Catholic Universities, kama wewe ni mmoja wao kaa mbali. Bodi itakudai ukiwa Mkulima!!!

chuo kingekua hakihusu Afisa wa bodi ya mikopo aliyepo kila chuo ana kazi gani?na wazir wa mikopo kila chuo kutoka serikal ya wanafunzi bc nae ni wa nn,,, tunajua chuo hakitoi pesa,, ila chuo kina wajibu wa kuhakikisha wanafunzi wake wanapata pesa kwa wakati

hapo hakuna ushirikiano kati yenu na viongozi wenu pamoja na bodi.. suala la kuchelewesha majina bodi ndio inahusika hahusiki afisa wala waziri wenu wanaohusika wapo huko bodi ya mikopo... kumlaumu afisa, principal, waziri wa mikopo n.k hakutosaidia mtumeni waziri wenu aende bodi kueleza tatizo.. mtaandamana mfukuzwe chuo iwe majanga ++
ni kwamba umepanik ndugu.. kazi ya afisa ni kurahisha taratibu za mikopo chuoni kwenu mfano asingekuwepo mngesainia wapi.?? na hayo majina mngeyapataje.? pia jiulize wakati unaomba mkopo kulikua na afisa?? waziri wa mikopo au chuo..?? unganeni fanyeni masuala ya msingi tafuteni utaratibu wa kwenda bodi ya mikopo...
Kila kitu kinaendeshwa na Main Campus (Mwanza) hata baada ya kujitegemea, Mf. Nani awe mkuu wa chuo na sehemu ya mishahara ya wafanyakazi. Wakiandamana watafukuzwa wote au waitie polisi wapigwe. Mkuu wa chuo alisha sema eti bodi ya mikopo si babao yao (Baba wa wanafunzi).
Hakuna Migomo Catholic Universities, kama wewe ni mmoja wao kaa mbali. Bodi itakudai ukiwa Mkulima!!!
Sio RUCO ni RUCU. mkuu
usipende kuwa mbishi kama teja...hivi hicho chuo umekijua jana au leo hii?
F.Y.I kilikuwa kikiitwa "RUAHA UNIVERSITY COLLEGE- (RUCO),
kipo mkoani Iringa oposite na sheri ya mafuta ya sasa au ilipokuwa CRDB zamani, karibu na ukumbi wa mokosa (makosa cats) ya zamani nearby maktaba ya mkoa wa Iringa. Pia waweza kuingilia kule mbele karibu ya benki ya NMB na majengo ya RETCO . Kwa kasakazini imepaka na shule ya msingi wilolesi. Pia chuo hicho kina tumia yaliyokuwa majengo ya DR.Amon Nsekela (R.I.P).
I am standing to be corrected if i have said something wrong......

Acha upumbavu mi sio teja. Nimekurekebisha kwamba sio RUCO ni RUCU ww unakomaa kunipa location. Napajua sana . Nakurekebisha tena sio RUCO ni RUCU. Ruco ilikuwa zamani..
unacho kisema ni kweli mkuu hilo jina ni la hivi karibuni tu (sijui hata kama lina zid miaka 3 toka lianze kutumika)....ila mimi nilikuwa nina muweka sawa ndezi mjamaa kuwa akipata chungu kipya asitupe kile cha zamani, pia anajifanya kusahau ingawa ukweli anaujua.mkuu ww ndio mbishi ss,, mimi nasoma hapa mwaka wa pili,, chuo hiki kinaitwa ruaha Catholic university,, lkn hapo nyuma kiliitwa ruaha university college , ss hivi ni chuo kinachojitegemea hakipo tena chin ya SAUT
we jamaa ndio four kabisa,, utapate pesa bila kusain,, na kwa taarifa yako mi sio first year