Wewe huna unawaza kugoma tu unafiki Waromani wanabembeleza mtu na kama hujui kitu piga kimya kuliko kujifanya unajua kumbe hujui pesa ya field unawekewa hata ukiwa hujasaini ukirudi toka field ndo unasaini.
ww unasema ivo kwa sababu umepata pesa,, ss sisi hata hatujasain,, na tumeshamaliza mitihani,, yaan tuendelee kukaa chuo et tukisubir kusain,, ujinga kama huu hatukubali
muda wowote kuanzia sasa, kutafanyika mgomo na maandamano makubwa kwa wanafunzi wa baed mwaka wa kwanza na mwaka wa pili ili kushinikiza chuo na bodi ya mikopo kuleta majina ya kusain pesa na kulipwa kwa wakati pesa za field inayoanza mwezi huu tar 12.
Nitaendelea kuwapa updates kinachoendelea hapa chuoni.
kwani ni mara ya kwanza wanafunzi kugoma hapo RUCO/RUCU?Kila kitu kinaendeshwa na Main Campus (Mwanza) hata baada ya kujitegemea, Mf. Nani awe mkuu wa chuo na sehemu ya mishahara ya wafanyakazi. Wakiandamana watafukuzwa wote au waitie polisi wapigwe. Mkuu wa chuo alisha sema eti bodi ya mikopo si babao yao (Baba wa wanafunzi).
Hakuna Migomo Catholic Universities, kama wewe ni mmoja wao kaa mbali. Bodi itakudai ukiwa Mkulima!!!
kwani ni mara ya kwanza wanafunzi kugoma hapo RUCO/RUCU?
uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, siwez argue na ww,, eti unaingiziwa pesa then unasain ukirud.
kama huna uhakika na jambo lolote lile usipende kulizungumza mbele ya watu fanya utafiti kwanza ........nilikuwapo pale mwaka 2010 hadi 2013....mwaka 2010 nilipokua mwaka wa kwanza ICT.....wanafunzi wa education waligoma deen of student by that time alikua mr Turuka na ITV walilipoti tukio hilo na mwandishi alieripot tukio hilo aliku Laurian Mkumbata....kama ulikua huna taarifa hebu chukua hiyo kwa kumbkumbuHuwa wanagoma mitandaoni tu, au wanajikusanya tu then wanatawanyika kama MAWINGU. Baba yao Main Campus Mwanza hawajawahi wao ndio wagome? Kila mwaka huwa nawasikia tu (tutagoma tutagoma), ili sijawahi hata siku moja kuona fujo zao zimeripotiwa Channel yoyote ile. Ilikuwa leo ndio wagome, muulize mtoa mada kama WAMEGOMA(wameandamana)uhakikishe!! Pale ni jeshi zaidi ya Amiri Jeshi JK.
kama huna uhakika na jambo lolote lile usipende kulizungumza mbele ya watu fanya utafiti kwanza ........nilikuwapo pale mwaka 2010 hadi 2013....mwaka 2010 nilipokua mwaka wa kwanza ICT.....wanafunzi wa education waligoma deen of student by that time alikua mr Turuka na ITV walilipoti tukio hilo na mwandishi alieripot tukio hilo aliku Laurian Mkumbata....kama ulikua huna taarifa hebu chukua hiyo kwa kumbkumbu
Nacho kiongea nakifahamu vzr na nina uhakika nacho, na usidhani ni ushujaa kujisifu eti mligoma!! Laa Asha!
Tambua vyuoni kuna migomo ya Wanachuo vs Serikali , na ile ya wanachuo VS Chuo husika. Mfano, pale mlikuwa mnasumbuliwa na UVCCM / Mkuu wa Wilaya Vs BAVICHA. Ila swala la HESLB ndio ugomee chuo (Wakatoriki), thubutu!! Wao huamini Board si baba yao na wanafunzi. Kwa vyuo vya gvt hiyo (migomo) ni kawaida sn hata vyoo vikiziba.
very sorry comrade huna unachokifahamu kuhusu mgomo wa 2010....na vurugu za uvccm na bavicha aliekupa taarifa hakukupa taarifa sahihi comrade....sijisifu na wala sina haja ya kujisifu kw ajili ya migomo nilichokua nakiweka sawa mimi ni kuhusu kuwahi kugoma tu........kama ulivyo hanikiza wewe.......na issue ya uvccm na bavicha ilikua ni 2012 comrade.....ni katika hali ya kuweka takwimu sawa tu tusiupotoshe umma