utaondoka nao kivip?? suala la uongoz dit ni hamna kitu m nahoji vigeza vinavyotumika kuwaajili wale watendaji wa uhasibu na wao ni chachu,, afu Mkuliya mwenzangu Nyahumwa huo ubabe peleka kwako kwenye taasisi ambayo ina watu wengi tumia wise decision sio kuamua tu kisa umeshika mpini we huna watoto wanaosoma au wewe hujakumbwa na adha kama hzi kipindi unasoma? kwa jinsi ulivyo tu dhahiri wewe n mtoto wa mkulima sasa kwanini unyanyase watoto wa wakulima wenzio au uprofesa unakufanya usahau ulipotoka au kutembelea stk kuna kupa kiburi haya mambo yanamwisho wake bhana