Mgomo wa amani DIT- Dar es Salaam Institute of Technology. june 2

Mgomo wa amani DIT- Dar es Salaam Institute of Technology. june 2

Jerick06

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
51
Reaction score
15
Serikali ya wanafunzi DIT kushinikiza uongozi wa chuo kufutilia mbali swala la wenzao kutokufanya mitihani ya kumaliza mwaka wa masomo.
Hii imetokana na wanafunzi takribani 620 kutoruhusiwa kufanya mitihani iyo. Kesho tarehe 2 june katika viwanja vyaa michezo DIT saa moja asubuhi kutakuwa na mgomo huo wa amani. Je swala la kufungiwa wanafuzi kwasiokamilisha ada ni sawa?
 
mpaka sasa DIT bado kuna hali tete baada ya wanafunzi kuzuia mitihan kufanyika kwa lengo la kushinikiza wenzao wasiomalizia Ada waruhusiwe kufanya mtihan ila kwa sharti LA kuzuiliwa matokeo mpaka watakApomaliza Ada
 
hiyo ni sawa maana mwanafunzi huwezi mzuia kufanya mitihani ni kumzuilia matokeo jamani!
 
hii inchi ya kihuni....simple tu wazuie matokeo,cheti na si mtihani.....si hao tu vyuo vingi hufanyiwa mchezo huo mchafu...
 
viongozi wetu wamesomeshwa bure na serikaliz but huwa wanajisahau wanapopata madaraka hayo name kuwaona watoto wa wakulima no Kama hawana khaki ya kusoma vile..
 
Na sio swala la kutokulipa ada tu, kuna waliolipa ada lakini mpaka muda wa mtihani kufika walikua wamenyimwa namba zao za mitihani na kulazimishwa kufanya mitihani hyo wakati wa supplimentary, hyo yote haina sababu za msingi bali ni uzembe tu wa utawala wa chuo
 
Kuna kipnd serikali ilikataza kuzuia mwanafunzi kuzuiwa kufanya mitihani kwa sababu za ada. Sasa je mbona huo unyanyasaji upo na serikali ya nchi kupitia wizara ya elimu iko kimya bila hatua stahiki juu ya mambo haya!! Swali linakuja ni kuwa walitangaza onyo hilo ili iweje?? Na kwa faida ya nani???
 
ni kukosa tu weled wa utendaji na kufikir kwamba siku zote mkubwa hakosei....hawa wakufunz wanadhan.kwamba matatizo yapo kwa wanafunz tu kumbe tatizo kubwa lipo kwa ofisi ya msajil mkuu
 
viongoz we2 wakubwa hawapend kukubali makosa ama madhaifu yao,,,bali wanasimamia maamuzi ya ovyo!!
 
Maelezo yote yaliyopo hapa kuhusiana na mgomo ni ya upande mmoja tu,kabla hamjatoa judgement ni bora mngeongea na pande zote. Maana wote wana mapungufu.
 
Kuna kipnd serikali ilikataza kuzuia mwanafunzi kuzuiwa kufanya mitihani kwa sababu za ada. Sasa je mbona huo unyanyasaji upo na serikali ya nchi kupitia wizara ya elimu iko kimya bila hatua stahiki juu ya mambo haya!! Swali linakuja ni kuwa walitangaza onyo hilo ili iweje?? Na kwa faida ya nani???

Yap, serikali imekuwa ikishidwa kusimamia kile isemacho. Kinachoonekana hapo dit ni utawala mbovu na wamabavu
 
Maelezo yote yaliyopo hapa kuhusiana na mgomo ni ya upande mmoja tu,kabla hamjatoa judgement ni bora mngeongea na pande zote. Maana wote wana mapungufu.

lakin Jana upende huo Wa pili ulihojiwa na waandishi Wa habari wakajiumama na kushikilia msimamo wao Wa kuwazuia wanafunzi wasifanye mitihan bila kutoa sababu ya msingi
 
Kondoro na cabinet yake ya "Ma bwanyenye" leo imejionea nguvu ya demokrasia, kwa walichokipata leo sidhani kama kutaendelea kua na usanii wa aina yoyote ile kwenye masuala mbali mbali ya Taasisi likiwemo suala la Usaili. Umoja wetu umeleta HAKI
 
Ila huo mgomo si kuna watu utaondoka nao au ?
 
utaondoka nao kivip?? suala la uongoz dit ni hamna kitu m nahoji vigeza vinavyotumika kuwaajili wale watendaji wa uhasibu na wao ni chachu,, afu Mkuliya mwenzangu Nyahumwa huo ubabe peleka kwako kwenye taasisi ambayo ina watu wengi tumia wise decision sio kuamua tu kisa umeshika mpini we huna watoto wanaosoma au wewe hujakumbwa na adha kama hzi kipindi unasoma? kwa jinsi ulivyo tu dhahiri wewe n mtoto wa mkulima sasa kwanini unyanyase watoto wa wakulima wenzio au uprofesa unakufanya usahau ulipotoka au kutembelea stk kuna kupa kiburi haya mambo yanamwisho wake bhana
 
Back
Top Bottom