Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kama vipi nyie Mamlaka muwapelekee Moto tuhawa pumbavu sheria hawafati hata kidogo, mamlaka zikikaza wanakimbilia kwenye migomo
hawa pumbavu sheria hawafati hata kidogo, mamlaka zikikaza wanakimbilia kwenye migomo
Wacha Wagome tu mambo mengine yanayofanyika nchi hizi ni ya hivyo sana.hawa pumbavu sheria hawafati hata kidogo, mamlaka zikikaza wanakimbilia kwenye migomo
Acha kuropokaHaiwezekani jitu limebeba watu 50 kwenye gari liendeshe kizembe bila kukatwa point, Tutakua wajinga sana.
Na sisi abiria tusimame na Serikali, Sheria za barabarani zipo kuwalinda abiria na watumiaji wengine wa barabara.
Wamemdharau Samia, hao dawa yao kuwafutia leseni. Serikali itow tangazo la tahadhari wakipuuzia waondoe mabasi yao hapo stendi wayapaki kwenye yadi zao serikali itumie mabasi haya ya majeshi na ya wale walio tayari. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa migomo, tena bila aibu eti hawataki leseni zikatwe point wakifanya makosa! Ni ajabu, hawataki uwazi wanataka waendelee kutoa rushwa ili kuficha makosa yao! Hiyo njia ya kukatwa point ndiyo utaratibu unaotumika ktk nchi zilizoendelea. Hebu serikali iache kubembeleza wananchi kutii sheria. Ifikie mahali sheria iheshimiwe na kila mtu. Wamezoea wamejiongezea nauli.maeneo mengine mpaka mara 2 wanajua serikali inawaogopa maana watagoma, watanzania wanateseka sahv kwa nauli kubwa bado wanaongezewa mateso wakati nchi ina uongozi. Hebu serikali iwe kali.hawa pumbavu sheria hawafati hata kidogo, mamlaka zikikaza wanakimbilia kwenye migomo
We mbona huna akili?Acha kuropoka
Madereva wana msimamo kuzidi walimu
tuangalie mfumo wa point wenyewe upo na makosa yapi alafu, jamii yenyewe iseme kama dereva anaonewa au haonewiKama vipi nyie Mamlaka muwapelekee Moto tu
naam kwenye hili la udereva watu wote tuungane kulikemea , madereva wanatakiwa wafate sheria.Wamemdharau Samia, hao dawa yao kuwafutia leseni. Serikali itow tangazo la tahadhari wakipuuzia waondoe mabasi yao hapo stendi wayapaki kwenye yadi zao serikali itumie mabasi haya ya majeshi na ya wale walio tayari. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa migomo, tena bila aibu eti hawataki leseni zikatwe point wakifanya makosa! Ni ajabu, hawataki uwazi wanataka waendelee kutoa rushwa ili kuficha makosa yao! Hiyo njia ya kukatwa point ndiyo utaratibu unaotumika ktk nchi zilizoendelea. Hebu serikali iache kubembeleza wananchi kutii sheria. Ifikie mahali sheria iheshimiwe na kila mtu. Wamezoea wamejiongezea nauli.maeneo mengine mpaka mara 2 wanajua serikali inawaogopa maana watagoma, watanzania wanateseka sahv kwa nauli kubwa bado wanaongezewa mateso wakati nchi ina uongozi. Hebu serikali iwe kali.
Mh. Rais badilisha uongozi wa wizara kuanzia waziri, naibu, mkurugenzi mkuu wa LATRA, yule bwana amejisahau sana!
Umuhimu wa katiba mpya wala hauhitaji mjadala. Katiba tuliyonayo inahitaji mabadiliko no matter what.Hii ndo Tanzania ninayo ifahamu mm,
Ukuwakuta sawa wanavo hubiri/Dai haki kutoka makundi mengine ya jamii kama utazani wao wanauwezo wa kuzifata.
Kuna wakati najiuliza hv ni kweli, watanzania hyo katiba mpya wanayoutaka wataiweza au wanafikiri itawabana viongozi tu 🤣
Wakamatwe wote wafunguliwe kesi ya uhainiHali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo.
Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa katika Kituo cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro, huku ITV ikikuta mabasi yaliyopangwa kuanza safari saa 12:00 kwenda mikoa mbalimbali yakiwa hayapakii abiria.
Mabasi yanayoonekana kuondoka kituoni ni yale yaliyowasili kutoka safari za masafa marefu na yanayomaliza safari katika kituo hicho.
Baadhi ya madereva na wafanyakazi waliokutwa kituoni wamekataa kuzungumza, huku waliozungumza kwa masharti ya kutorekodiwa wakisema wamelazimika kuwaruhusu abiria waliokuwa wanatarajia kuanza safari Msamvu kurejea nyumbani, kwa hofu ya magari yao kushambuliwa endapo wangeendelea na safari.
Wanasema wao ndio wenye dhamana ya magari hayo na usalama wao pamoja na mali walizokabidhiwa.
Madai makubwa ya madereva yanahusu faini wanazodai kutozwa na askari wa Usalama Barabarani, ambazo kwa baadhi ya makosa zinaweza kufikia hadi shilingi milioni moja kwa dereva, pamoja na hatua za kusimamishwa leseni kwa muda, kupunguziwa pointi na hatimaye kupokonywa leseni.
Madereva hao wanasema baada ya kurejeshewa leseni, baadhi yao hutakiwa kurejea shuleni kabla ya kuruhusiwa kuendelea kuendesha, hali wanayodai kuwaathiri kiuchumi kwa kuwa bila leseni hawawezi kutambulika kazini na wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa familia.
Madereva hao pia wanadai kuwa hata wale wanaoendesha mabasi ya masafa marefu wamekuwa wakisafiri kwa tahadhari, wakizingatia usalama wao, abiria na magari. Wamesema endapo hakuna uhakika wa usalama, wako tayari kusimamisha magari na kusubiri maamuzi ya uongozi wao baada ya kukutana na mamlaka husika katika vikao vinavyotarajiwa kujadili changamoto hizo.
Madai yao umeyasoma kabla haujajiaibisha na hii post yako?hawa pumbavu sheria hawafati hata kidogo, mamlaka zikikaza wanakimbilia kwenye migomo
mimi hua nagombana nao sana madereva tupo kwenye zebra mtu kakanyaga zebra , unajiuliza huyu kasoma wapi,Haiwezekani jitu limebeba watu 50 kwenye gari liendeshe kizembe bila kukatwa point, Tutakua wajinga sana.
Na sisi abiria tusimame na Serikali, Sheria za barabarani zipo kuwalinda abiria na watumiaji wengine wa barabara.
hawa ndo waanze kutoa mfano, haiwezekani dereva alalamike kufunga mkanda au huvaa helmet ni mambo ya ajabu kabisaWacha Wagome tu mambo mengine yanayofanyika nchi hizi ni ya hivyo sana.
madai yao yapi, nani atasikiliza madai ya madereva ambao mwaka jana tu hapa watu wameambiwa warudi shule ku-refresh wamekataa wengi wao na kusema wao wameendesha muda mrefu , hivyo wanapotezewa muda, sasa mbona uzoefu wao hawauoneshi huko barabarani?Madai yao umeyasoma kabla haujajiaibisha na hii post yako?
Hiyo namba 3 kwenye part one mbona sijaielewa...hiyo point 3 watazikata wapi kama mtu hana valid licence?!tuangalie mfumo wa point wenyewe upo na makosa yapi alafu, jamii yenyewe iseme kama dereva anaonewa au haonewi
View attachment 3680133
View attachment 3680134
hapo dereva leseni inakua na point 15 zikifika 0 , unakua suspended kwa miezi 6.
nchi hii kila mtu analilia katiba muda huu, hivi miongozo hii kwa dereva si ni vitu basic kabisa?