Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

Leseni haina
dereva anaruhusiwa kuendesha gari la bosi likiwa na mzigo wa bosi wa madawa ya kulevya?

madawa yakamatwe dereva aje aseme yeye anaendesha gari tu? tusitete haya mambo
Nimezungumzia trela na si mambo ya vitu alivyopakia yaani usajiri wa trela umuhusu dereva na si mwenye gari uliona wapi mambo ya mzigo aliobeba dereva unawahusu wote dereva na mwenye gari ila sio usajiri wa gari waliotunga hiyo sheria wengi ni wamilikia wa hivyo vyombo wamejitoa na kumpa kesi dereva.
 
sheria za nchi hii zinakataza mtu yeyote kuendesha gari lisilo na usajili, sheri inakutaka wewe dereva kua barabarani na vitu halali,
 
sheria za nchi hii zinakataza mtu yeyote kuendesha gari lisilo na usajili, sheri inakutaka wewe dereva kua barabarani na vitu halali,
Kwa hiyo kampuni inakua huru kwa kutoa trela lisilo na usajiri? Ili dereva akapakie na pia hivi vitu inawezekana hauna hata taarifa za kazi za transport zinafanyika vip nasema hiyo sheria iwe kwa kampuni ndio wapate adhabu na si dereva kuhusu trela hivi vitu hauwezi kusikia SA au Botswana kwa sababu akili zao kidogo wanazo sio hawa wahuni..
 
Akili kiwango cha jalala
 
Tatizo mnaangalia upende mmoja tu ila kuna madereva wanaendesha vizuri tu na hawana shida
Point 15 sio nyingi na mnajua maafisa usalama baadhi yao wakiona hawana hela ndo onakua fimbo ya kupigia.
Zitapigwa ngumi huko road tupo hapa maana jamaa wameshika points na wataongeza kiwango cha rushwa huku madereva hawana kazi itakuwepo huko tupo hapa tuombe uzima tu.
 
Yy yuko EDA anakula tende tu. Na machawa wake mpk sasa wamelala bado hawajafika ofisini. Mda hu ni 10:58 za asubuhi. Kuleni maisha wateule. Lakni tangu lini mzenji akawa na huruma na mtanganyika.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Madereva ni watu wazima. Wana hoja za msingi. Vyuma haviondoki mpaka muafaka ufikiwe.
 

Ni sahihi,

Hatuwezi kuendelea kuishi hvi, Njia za waenda kwa miguu zimegeuka za boda boda na bajaji.

Hapana kwa kweli tufate tu sheria.
 

mkuu wewe ni mzoefu wa haya mambo hutakiwi kusema hivi, huko ukanda wa sadc sijui taratibu zao zipo vipi labda mapaka nisome documentation zao

ila hapa nchini sheria ipo wazi naweka nukuu



maelezo hayo hapo, dereva anayeendesha chombo cha moto au trela lisilosajiliwa, na mmiliki wote wapo hatiani


Akili kiwango cha jalala
kama umefanya kosa na faini inasema kiasi fukani, unatakiwa ulipe kiasi hicho kilichoainishwa tu. ukiona unalipa hela zaidi jua unamatatizo mengine yanayokufanya ukubali faini hiyo kubwa. kila la kheri
 
Ni sahihi,

Hatuwezi kuendelea kuishi hvi, Njia za waenda kwa miguu zimegeuka za boda boda na bajaji.

Hapana kwa kweli tufate tu sheria.
clip ya yule dereva juzi hapa jamaa anaendesha basi huku anachati ilivyo rend kila mtu alikasirika tabia ya dereva yule.
ila ikija kwenye madereva kuwajibishwa watu nao hawataki wanaona serikali inaonea watu, na kama ulivyosema tunapambania katiba mpya ila hata sheria ndoto za kupunguza ajali na kuhakikisha usalama wa watu tunazigomea, na ukisema hivi unaonekana unaitetea serikali wakati ni vitu basic
 
Mkuu kupunguza ajali ni mambo mengi sana sio points tu magari mabovu machakavu kutokana na kodi kubwa..
Ubora wa matairi pia hayajakidhi viwango unakuta mtu anaendesha gari harafu tairi mpya ya mbele inapasuka ulisikia wapi tairi mpya iliyo na viwango bora ikapasuka?
Madereva kutokua na nafasi ya kupumzika na pia kufanya safari ndefu mara kwa mara..
Malipo madogo..
Ikiwa kila siku watu wanawaza kuzima moto bila kutatua hizo changamoto hakuna kitu watakua wanafanya..
Scania ya 2020 kuja juu kodi yake ni balaa ila sokoni bei sio mbaya watu wanaamua kujificha kwenye Scania za miaka kuanzia 2000 ingawaje nazo zinasoma kodi kuanzia 33m kuendelea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…