Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Nchi ina bandari ila inabana usafirishaji balaa ni kama tumerogwa inafikia sasa Wazambia,Wacongo,Rwanda wanaamua kuwa na vyombo vya usafiri ili wabebe cargo zao kwa madereva wao na leseni zao huku sisi tukijiwekea kamba kibao kwa madereva na wasafirishaji.Imagine umebakisha point 5 tu ufungiwe halafu ndo unakamatwa, mtu anataka akate tatu 🤣
Lazima ngumi ziruke
hapa naunga mkono,Mkuu kupunguza ajali ni mambo mengi sana sio points tu magari mabovu machakavu kutokana na kodi kubwa..
Ubora wa matairi pia hayajakidhi viwango unakuta mtu anaendesha gari harafu tairi mpya ya mbele inapasuka ulisikia wapi tairi mpya iliyo na viwango bora ikapasuka?
Madereva kutokua na nafasi ya kupumzika na pia kufanya safari ndefu mara kwa mara..
Malipo madogo..
Ikiwa kila siku watu wanawaza kuzima moto bila kutatua hizo changamoto hakuna kitu watakua wanafanya..
Scania ya 2020 kuja juu kodi yake ni balaa ila sokoni bei sio mbaya watu wanaamua kujificha kwenye Scania za miaka kuanzia 2000 ingawaje nazo zinasoma kodi kuanzia 33m kuendelea..
hapa naunga mkono,
na kutatua mambo hayo mazito ya kiwango hiko, wepesi ni kuanzia chini kwa dereva.
madereva ndo wakuamua tunabadilika jambo hili na hili alafu tuaanza kudemand madai hayo tajwa mojamoja.
mimi siwezi mtetea dereva wakati ukienda tu hata chang'ombe pale test za madereva unaona kabisa kiwango kipo chini na mwisho wa siku wanatoka pale wanasemwa wamepass, mtu huyu kuja kumtetea ni ngumu na ndo kundi kubwa.
mfano dereva wa pikipiki anasema hasimami kwenye mataa kwa hofu ya kukamatwa muda huo unamuuliza kwanini huvai helmet anakwambia ushamba, unamuuliza kwani wanaokamata wanakamata kwa kosa gani maelezo hayaeleweki, nchi imeshajisahau kwa muda mrefu muda wa kuanza kurudisha mambo kwenye viwango ndo huu, wadau wakae wakutane kati, ila sio kumtetea dereva kugomea kufata sheria
Mkuu usichanganye mada tunawazungumzia madereva wa Truck unachanganya na wasukuma piki piki kweli?hapa naunga mkono,
na kutatua mambo hayo mazito ya kiwango hiko, wepesi ni kuanzia chini kwa dereva.
madereva ndo wakuamua tunabadilika jambo hili na hili alafu tuaanza kudemand madai hayo tajwa mojamoja.
mimi siwezi mtetea dereva wakati ukienda tu hata chang'ombe pale test za madereva unaona kabisa kiwango kipo chini na mwisho wa siku wanatoka pale wanasemwa wamepass, mtu huyu kuja kumtetea ni ngumu na ndo kundi kubwa.
mfano dereva wa pikipiki anasema hasimami kwenye mataa kwa hofu ya kukamatwa muda huo unamuuliza kwanini huvai helmet anakwambia ushamba, unamuuliza kwani wanaokamata wanakamata kwa kosa gani maelezo hayaeleweki, nchi imeshajisahau kwa muda mrefu muda wa kuanza kurudisha mambo kwenye viwango ndo huu, wadau wakae wakutane kati, ila sio kumtetea dereva kugomea kufata sheria
au wanazilaza chini, nchi hii inachangamoto nyingi. kuna clip nimesahau ilikua media gani, lakini polisi walihojiwa kwamba wamewashindwa bodaboda, polisi wakajibu hapana hawajaamua tu. --- sasa haya ni majangaKuna mikoa ukienda boda boda mpya kabla haijaenda sheli Inang'olewa kwanza Side mirrors.
Yani watu hawataki kutumia side mirrors makusudi utamteteaje huyu mtu?
sheria zinazolalamikiwa kimsingi zinagusa madereva wote.Mkuu usichanganye mada tunawazungumzia madereva wa Truck unachanganya na wasukuma piki piki kweli?
Na ili Nchi isonge wawaze kuwa na bara bara za kisasa kwa sababu sisi inatuhusu sana sio kuwachanga hao na magari mengine Serikali inasahau kuwa usafirishaji ni faida kwao pia..
Angalia parking ya Truck pale Tunduma harafu nenda kaangalie uapnde wa Zambia hata mizani zao tupo tofauti sana sisi waongo waongo tu Mizani ya Nakonde kama sio za Nchi zetu ila sisi tukijenga mpya inakua na muundo kama wa zamani ila bajeti yake sasa..
Sheria ni hao polisi wanaweza kufunga leseni lakini Mahakama ndio ilitakiwa iwe chombo cha mwisho kuhusu hizo hukumu sio polisi aisee..sheria zinazolalamikiwa kimsingi zinagusa madereva wote.
ila kama kawaida nchi yetu focus kubwa inamulikwa kwa trucks na mabasi.
mimi nakubaliana na wewe yote isipokua kumkinga dereva.
madereva wengi kanuni hawazingatii ,
jambo tv hapa clip hii wamehoji madereva wawili, wasikilize alafu tuangalie wao kama madereva wanafahamu taratibu za kazi yao.
dereva anasema mwenye mamlaka ya kufunga leseni ni mahakama tu, huyu kasoma wapi sheria ya barabarani, hajafundishwa kuna mazingira afisa polisi kuanzia ngazi ya ASP kwenda juu anaweza mfungia leseni
View: https://www.youtube.com/watch?v=R2dF9nnawNI
mjadala huu sio mwepesi namna hiyo na unakua mzito zaidi kwa dereva kwakua yeye muda wote anatakiwa kufuata sheria iliyowekwa
jambo hilo linawezekana kuboreshwaSheria ni hao polisi wanaweza kufunga leseni lakini mahakama ndio ilitakiwa iwe chombo cha mwisho kuhusu hizo hukumu sio polisi aisee..
Nakutolea mfano SA ambako ndio wasafirishaji wakubwa polisi na fine unaweza kuzikatia rufaa mahakamani tujaribu kuishi kama binadamu sio wanyama yaani mtu atoke zake nyumbani tu huko aje kunipunguzia points si uhuni huo wanataka kutengeneza mazingira ya rushwa tu kwa nini hawataki kutumia mahakama maana wao ndio watafsiri sheria zinazotungwa sio hawa ambao hata shule hawajaenda kabisa kazi wamepata kwa kupeana.
Mkuu kitu kinashoshika maisha ya mtu harafu eti nifutiwe leseni na polisi yupo zake kituo cha Manyara hata kusoma vizuri hajui acheni utani aisee..jambo hilo linawezekana kuboreshwa
watu waanze kufunga kamera tuMkuu kitu kinashoshika maisha ya mtu harafu eti nifutiwe leseni na polisi yupo zake kituo cha Manyara hata kusoma vizuri hajui acheni utani aisee..
Haitasaidia kitu waondoe tu huo uchafu wa sheria zao za kipuuzi puuzi.watu waanze kufunga kamera tu
Mimi Niko upande wa serikali kwa Usalama wa wananchi, ajali zimezidiHaiwezekani jitu limebeba watu 50 kwenye gari liendeshe kizembe bila kukatwa point, Tutakua wajinga sana.
Na sisi abiria tusimame na Serikali, Sheria za barabarani zipo kuwalinda abiria na watumiaji wengine wa barabara.
Sehemu zote hizi ni upigaji sasa hivi tairi unakuta imetengenezwa ndani ya miaka mitatu au minne unaambiwa ina tarehe ya kuisha muda mwaka mmoja mbele..Hapo kwenye matairi , tairi huwa na expire date. Linawezq kuwa halijatumika au halijatumika sana lakini lime-expire lolote linaweza kutokea mfano kupasuka.. kama nimekosea hapa Mshana Jr atarekebisha!
Ok,tufanye uko sahihi.hawa pumbavu sheria hawafati hata kidogo, mamlaka zikikaza wanakimbilia kwenye migomo
Haya majinga hata hoja hayana. Yanataka yaachwe yaemdeshe kama vichaa na kuua watu kama walivyoua pale Tegeta juzi juzihawa pumbavu sheria hawafati hata kidogo, mamlaka zikikaza wanakimbilia kwenye migomo
Dawa ni kutii sheriaKukatwa point mchezo, Zikiisha na leseni ni kama imekufa tu 🤣.
Hizi Usawa wa sheria ni mzuri kama unazungumzia wenzio ila likija kwako ni suala gumu sana.
mkuu unaongea vitu vya kushangaza. hapa suala sio mimi kua sahihi au nani awe sahihi.Ok,tufanye uko sahihi.
Ila kwa nini madereva pekee ndio wawekewe mfumo points na kuanza kukatwa licha ya kuwepo kwa adhabu nyingine za kisheria?
Askari yeye akikosea nani anamkata points?
Mwanasheria akikosea nani anamkata points?
Daktari akikosea nani anamkata points?
Wanasiasa wanakosea nani anawakata points?
Why mfumo uwe kwa madereva peke yao?
naam serikali kwenye hili tunawaunga mkono kwa asilimia zote, haiwezekani watu wawe na hofu barabarani kwa sifa za madereva, yani dereva wa basi anasema hatutaki kufungiwa VTS, hii nchi watu wapo timamu kweli?Haya majinga hata hoja hayana. Yanataka yaachwe yaemdeshe kama vichaa na kuua watu kama walivyoua pale Tegeta juzi juzi
Ukiyaona yanavyoemdesha barabarani kama vichaa halafu yakikatwa point yanalialia.