masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Madereva si wachache nchi nzima.
Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo.
Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja.
Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake.
Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli.
Wako uchi.
Madereva wameweza kuitake serikali by surprise na wasijue wafanye nini kwa mara moja.
Tumemwona Waziri wa Mambo ya Ndani akihangaika huku na kule kujaribu tatua huu mtafaruku.
Matatizo ya madereva yameonekana kuwa ya msingi kabisa, na hayajasikilizwa na serikali licha ya malalamiko mengi.
Hili vile vile ni somo kubwa, serikali imeonekana haina ukaribu kwa wananchi wake kwa sasa.