Mgomo wa Madereva nchi nzima: hii si dalili njema kwa serikali!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,870
Reaction score
15,068
Madereva si wachache nchi nzima.
Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo.
Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja.
Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake.
Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli.
Wako uchi.

Madereva wameweza kuitake serikali by surprise na wasijue wafanye nini kwa mara moja.
Tumemwona Waziri wa Mambo ya Ndani akihangaika huku na kule kujaribu tatua huu mtafaruku.
Matatizo ya madereva yameonekana kuwa ya msingi kabisa, na hayajasikilizwa na serikali licha ya malalamiko mengi.

Hili vile vile ni somo kubwa, serikali imeonekana haina ukaribu kwa wananchi wake kwa sasa.
 
Well said bro. This is a very strong message kwa hii Serikali ya kibabe. Nmemsikia Msemaji wa Polisi akiongea kwa ubabe na Vitisho which is nonsense and Insanity!!

Mapolisi wa nji hii wanachangia pakubwa sana kuchochea Hasira za Watanganyika. Yaani badala ya ku-address matatizo yaliyowekwq hadharani na madereva kwann wamegoma jitu linakuja na vitisho!! Pumbaf kabsa.
 
Kitakchofuata ni kupotea kwa madereva.
Kama watu wameanza kutambua haki zao kwa migomo na maandamano, basi kinachofuata ni kukataa KUTEKWA na KUPOTEZWA NA HAWA WAHUNI WA CCM. It's just a matter of time. Time gonna tell!!
 
Polisi ni part of the problem.
Wako inflammatory!
 
Jeshi la Polisi linalaumiwa na kila mtu, nadhani ni wakati muafaka kwa sasa hili jeshi lifanyiwe mabadiliko makubwa kuanzia kwenye uongozi na uendeshwaji, hakuna mwananchi ambaye anafurahia utendaji wake labda Chacha & Co.
 
 

Attachments

  • 1000125788.jpg
    224 KB · Views: 17
Nashauri madereva wote watakaobainika kupanga, kuchochea na kushiriki mgomo huo nonsense eneo lolote nchini, wafutiwe leseni zao jumla.

hatuwezi kukubali kua na nchi yenye watu wasio fuata utaratibu ila wanadai haki ya kukiuka sharia. Hii nonsense haikubaliki hata kidogo 🐒
 
Jeshi la Polisi linalaumiwa na kila mtu, nadhani ni wakati muafaka kwa sasa hili jeshi lifanyiwe mabadiliko makubwa kuanzia kwenye uongozi na uendeshwaji, hakuna mwananchi ambaye anafurahia utendaji wake labda Chacha & Co.
Mkuu tatizo si Polisi, ni CCM chama tawala.
Chama hakitoshi katika nafasi yake.
Matatizo mengine ni ya kukubaliana kisiasa na dunia inaendelea.
Lakini Wanasiasa wanawrushia olsi kila kitu kitatuliwe kwa nguvu.
Na kwa ujinga wao polsi hawakatai, wanakubali kila mkenge.
 
Kuachia mambo holela kwa kutengeneza uholela wa makusudi ni zaidi ya uhaini,waliotufikisha hapa wanastahili kunyongwa hadi kufa,nikiangalia hapo CCM sioni wa kusalia.
 
Polisi ni part of the problem.
Wako inflammatory!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…