Mgomo wa Wafanya Biashara Mwanza

Mgomo wa Wafanya Biashara Mwanza

Maduka yote katikati ya Mji wa Mwanza yamefungwa. Ni usumbufu kwa wafanyabiashara waliotoka maeneo mbalimbali kama Musoma, Kahama, Tarime, Serengeti, Maswa, Bariadi, Ukerewe, Bukoba, Shinyanga na kwingineko kuja kununua mahitaji yao hapa Jiji la Mwanza. Kwa mgomo huu ni indiketa kwa Serikali ya CCM inatakiwa ijipime na ianze kutatua matatizo ya wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
 
Serikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua

Hakuna mambo ya kudekezana now

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
 
Hakuna muda wa kuvumilia ahadi hewa, mitaji ya watu iko at stake hapa.
Unatoa ahadi ahadi halafu hufanyii kazi, bora usiahidi chochote

Hamna mtu anataka kufanya bishara ngumu nyumbani. Jambo litatuliwe kwa facts si kwa siasa na ahadi hewa
 
Basi wafunge tuone Nani ataadhirika
 
Wafanyabiara wasikilizwe na ufumbuzi wa changamoto zao upatiwe ufumbuzi wa kudumu.big up kwao!
 
Serikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua

Hakuna mambo ya kudekezana now

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
We nae ni mjinga, duniani kote serikali inayowajibika kwa wananchi hawawezi kujiendesha kwa akili kama yako kwani haukui kuwa wafanyabiashara ndiyo wanaendesha nchi kwa kodi? Au unataka watumishi wa Umma walipwe mishahara kwa mikopo?
 
Hakuna muda wa kuvumilia ahadi hewa, mitaji ya watu iko at stake hapa.
Unatoa ahadi ahadi halafu hufanyii kazi, bora usiahidi chochote

Hamna mtu anataka kufanya bishara ngumu nyumbani. Jambo litatuliwe kwa facts si kwa siasa na ahadi hewa
nikikuuliza hayo matatizo yanayotakiwa kutatuliwa unayajua?
 
Back
Top Bottom