Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maduka yote katikati ya Mji wa Mwanza yamefungwa. Ni usumbufu kwa wafanyabiashara waliotoka maeneo mbalimbali kama Musoma, Kahama, Tarime, Serengeti, Maswa, Bariadi, Ukerewe, Bukoba, Shinyanga na kwingineko kuja kununua mahitaji yao hapa Jiji la Mwanza. Kwa mgomo huu ni indiketa kwa Serikali ya CCM inatakiwa ijipime na ianze kutatua matatizo ya wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
Hakuna muda wa kuvumilia ahadi hewa, mitaji ya watu iko at stake hapa.Serikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua
Hakuna mambo ya kudekezana now
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
Hakuna muda wa kuvumilia ahadi hewa, mitaji ya watu iko at stake hapa.
Unatoa ahadi ahadi halafu hufanyii kazi, bora usiahidi chochote
Hamna mtu anataka kufanya bishara ngumu nyumbani. Jambo litatuliwe kwa facts si kwa siasa na ahadi hewa
We nae ni mjinga, duniani kote serikali inayowajibika kwa wananchi hawawezi kujiendesha kwa akili kama yako kwani haukui kuwa wafanyabiashara ndiyo wanaendesha nchi kwa kodi? Au unataka watumishi wa Umma walipwe mishahara kwa mikopo?Serikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua
Hakuna mambo ya kudekezana now
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
nikikuuliza hayo matatizo yanayotakiwa kutatuliwa unayajua?Hakuna muda wa kuvumilia ahadi hewa, mitaji ya watu iko at stake hapa.
Unatoa ahadi ahadi halafu hufanyii kazi, bora usiahidi chochote
Hamna mtu anataka kufanya bishara ngumu nyumbani. Jambo litatuliwe kwa facts si kwa siasa na ahadi hewa
Duu watu huwa mnawaza kwa kutumia Nini!Serikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua
Hakuna mambo ya kudekezana now
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
Hao waliojariwa hawajui uchungu wa aliyejiajiri huyo hata kibanda hananikikuuliza hayo matatizo yanayotakiwa kutatuliwa unayajua?
Mkuu think twiceSerikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua
Hakuna mambo ya kudekezana now
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
Mkuu think twice