Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

Umeandika ujinga sana iwakuwa hujawahi kufanya biashara wala kilipa kodi
Wenye ujinga uliopitiliza wanapita kapa bila kuelewa, wenye uangalau wanapata walau moja moja lenye maana kwao
 
Pia mauzo yakishuka na Kodi itakuwa ndogo mishahara mikubwa wanayolipana TRA na wabunge yaweza shuka pia
Kwani hao uliwataja wana akili na huruma hiyo?
Watanipa nje waongezeane malipo makubwa.
 
Nimepata kuandika comments kwamba mlipaji mkuu wa Kodi ni mlaji wa mwisho ambaye akinunua kitu yeye anakwenda kukitumia tu πŸ™„πŸ˜³

Tena huyo mlaji huwa analipa na faida ya ile bidhaa aliyonunua. πŸ˜…

Labda sasa nitaeleweka πŸ˜³πŸ€™πŸ€™πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…