Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Hawa polisi hawaponi, Kenya hawatalinyamazia!
wabunge wa kenya hawafungwi midomo, that is my point!Teh teh teh tihiii
Kama mkurugenzi wa tehama bwana Musando aliuawa na HAMNA kilichotokea, kama kuna Uhuru na Ruto waliua watu na HAMNA kilichotokea. Sembuse hii ambayo hakuna aliyepoteza mali au uhai!!?
wabunge wa kenya hawafungwi midomo, that is my point!
mido inkamu polisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa tena ndio huwa wanaongoza kuuwa katika naandamanoKama wewe unaambiwa ..... unakaido utapigwa tu.
Mimi nilifikiri mido inkamu polisi hawapigi waandamanaji.
hahaha.... unaambiwa huko ndio demokrasia ilipo [emoji23]Ndio nchi anapotoka baba wa democracy Africa [emoji288][emoji23]
Polisi wengi wanatatizo la ukosefu wa akili. Sometimes unaeza waza waliziharisha udogoni pindi wanaharisha?!?!!
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Tanzania Hakuna Hiyo Migomo
aibu kubwa sana..... ila wakenya wanavyojua kuongea sipati picha hii ishu ingetokea TZ wakenya wangeongeajeHII NI AIBU