Mgomo wa Wafanyakazi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta: Polisi watembeza kipigo hadi kwa abiria

Mgomo wa Wafanyakazi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta: Polisi watembeza kipigo hadi kwa abiria

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
3,587
Reaction score
7,272
"Only in Kenya !!!!! [emoji1381][emoji1381][emoji1381] it started as a peaceful Demonstration but Police wanapiga hadi Abiria #JKA it's happening in Kenya [emoji1139]

What Went wrong with our Kenyan leaders" [emoji2368][emoji2368][emoji2368]

Ni maneno kutoka kwa rafiki wa Kikenya
akisindikiza na kavideo clip kafupi kusuport aliyoyaandika

clip no 1View attachment 673b06dcbf0e4afa2f16d79097b8cbf3.mp4


clip no 2



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa polisi hawaponi, Kenya hawatalinyamazia!
 
Hawa polisi hawaponi, Kenya hawatalinyamazia!

Teh teh teh tihiii
Kama mkurugenzi wa tehama wa TUME YA UCHAGUZI bwana Musando aliuawa na HAMNA kilichotokea, kama kina Uhuru na Ruto waliua watu na HAMNA kilichotokea. Sembuse hii ambayo hakuna aliyepoteza mali au uhai!!?
 
Teh teh teh tihiii
Kama mkurugenzi wa tehama bwana Musando aliuawa na HAMNA kilichotokea, kama kuna Uhuru na Ruto waliua watu na HAMNA kilichotokea. Sembuse hii ambayo hakuna aliyepoteza mali au uhai!!?
wabunge wa kenya hawafungwi midomo, that is my point!
 
Pathetic, hii yote kwa manufaa ya mafisadi wachache wanaoinyemelea JKIA nao mbwa wa polisi wanaingia barabarani kupiga innocent wananchi. pumbavu, a debtor seeking to control a creditor., uliona wapi?
 
Back
Top Bottom