Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

Kesho solidality inaendelea na ukweli utajulikana kwani wazee wanazidi kuchanganyikiwa hawana la kwao watajuta kutuibia
 
Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?
 
Ngoja amalize kucheza kibati mara moja pale Zenj, afu atarejea usitie shaka.
 
Wewe ambaye mpaka leo hii unaamini wanafunzi wa udom walimchangia kikwete pesa za kuchukulia fomu una upeo mdogo wa uelewa na mind yako haijui kucheza na propaganda za kisiasa. Pesa hizo zilichangwa na CCM mkoa wa dodoma na kutumia makada wachache wa CCM akiwemo kijana mmoja anaitwa NICKSON MMANYI ambaye anasoma education mwaka wa 3 sasa..
 
Mchango gani uliotolewa na udom!! Ule ulikuwa na usanii tu wa jk na timu yake, kama kawaida yao ya kuwapumbaza wadanganyika.
 
Hivi Kikula kusoma hakumsaidii??Yaani mtu ukishakuwa kiongozi Humanity kwako inapotea??sasa kusema Claim zetu they are not Genuine anamaanisha nini?? Huyo JK akishamaliza kucheza kiduku huko zanzibar aje haraka UDOM kabla hapajageuka kuwa Arusha part 2
 
Mie sijaelewa we mamkwe kwanini unatetea UDOM- unafaidika nini- kwanini usiache UDOM ijibu yenyewe- mashawishika kuhisi kuwa wewe sio Mkulima bali ni mmoja wa watuo waliofaidika na ufyonzaji wa mishahara yetu! Mwizi wewe! Ungekuwa jirani ungelamba kibao! Nyamafu
 
Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?

Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa misingi ya Katiba na Sheria. Ingawa Mh. Rais anayo madaraka makubwa ya kikatiba na kisheria sio sahihi kumtaka Mh. Rais atumie madaraka yake pale pasipostahili. Rais hastahili kuingilia mambo ya ndani ya UDOM. Yale wahadhiri na wanafunzi wanayoyaita "MADAI" sio kazi ya RAIS. Tusijaribu kuidhalili OFISI na KAZI ya RAIS wa nchi yetu.

UDOM inatawaliwa na sheria na utaratibu wake wa kutatua migogoro. Hao wahadhiri walitegemewa kufahamu hilo. Jana niliwaona hao wahadhiri wakishikana mikono na kuimba kama kundi la wanafunzi na wanaharakati. Jambo hili lilinisikitisha saaaana. Kwa kweli kama wale niliowaona ndio wahadhiri wa UDOM basi Prof. Kikula unayo kazi. Hawa wahadhiri hawana msaada kwa wanachuo wetu na ndio maana wanafunzi wa vyuo vyetu vikuu wakija makazini ni SHALLOW na walalamishi wasiotaka kujifunza utaratibu. Nilimsikia huyo kiongozi wa hao wahadhiri akitoa sababu ya kitoto (PATHETIC reason) kwa nini hao wahadhiri wanamtaka Mh Rais aende UDOM. Sitashangaa nikiambiwa kuwa hawa wahadhiri hawajasoma Sheria iliyoanzisha UDOM na mamlaka za UDOM zenye wajibu wa kuwasikiliza. Wananchi wanapodai Katiba mpya ni lazima wafahamu kuwa baadhi ya wahadhiri wetu ni shallow na wanatuletea wafanyakazi dhaifu wasioweza kutekeleza wajibu wao na matokeo yake watu wanadhani kuwa tatizo ni sheria au katiba kumbe tatizo ni wanafunzi wasiopikwa na kuiva.
 
@TEROBURU. You have a BALONEY mind!

Umeusoma waraka uliotolewa na UDOMASA? Usome kwanza,then uanze kuyachallenge madai yao.

AMANDLA
 
Wewe Teroburu kwanza unajua maana ya neno Pathetic au umekurupuka kutoka kwa mlacha saiv kakutuma uje uandike hizi crap?
Ngoja nikupe darasa kidogo.

Meaning of Pathetic:
(a.) Affecting or moving the tender emotions, esp. pity or grief; full of pathos; as, a pathetic song or story.

(a.) Expressing or showing anger; passionate.

Watu wamekuja na hoja zao nzito unasema Pathetic reason? Unasema uliwaona wahadhiri, then unasema 'kama wale niliowaona ni wahadhiri', huna uhakika hata na unachokiongea, wewe ni kilaza, na nakushauri ujiunge na mwaka wa kwanza next september, crap!
 
Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?

Hivi amewahi kulipa fadhila kwa watanzania eh?
sikumbuki kama ni tabia yake,una msingizia
 
Hatahivyo ni unafki wenu tuu, nani aliwatuma mumchangie? mmeshamwona akikanyaga UDSM? anajua pale pamoto.
Hao ndo ccm muwajue mapema.
 
Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?
Ndiyo, wapigwe mabomu hadi watakapotambua kuwa kujikomba siyo suluhu ya matatizo!!
 
AHAA kumbe ni wewe mmoja wa wale Wahadhiri wasiostahili hata kufundisha shule ya msingi? Weka huo waraka wa madai katika jamvi tuusome badala ya kumtaka eti Rais wa Jamhuri ya Muungano aache shughuli zake za muhimu aje kuwasikiliza wahadhiri wasiouweza kuunganisha sentensi kamili ya kiingereza. Bado narudia kuwa kama wahadhiori ni wale walioonekana TV ya Channel TEN jana wakieleleza kwa ufupi madai yao, basi hatima ya elimu ya vyuo vikuu Tanzania iko hatarini.

USHAURI WANGU KWA PROF. KIKULA: wape hao wahadhiri likizo ili kila mmoja afuatilie madai yake badala ya kuimba nyimbo kama wanaharakati na sio intellectuals.
 
Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?

walijikomba tu kwake, aliwaambia anahitaji hiyo milioni moja ili achukue fomu? kwa hivyo walifanya hivyo ili awape nini?
 
Udom wanavuna walichopanda,wakati tukitegemea vuguvugu la mabadiliko ya kweli lianzie kwenye vyuo vikuu udom walitumia hata zile sent chache walizokuwa nazo kumchangia jk sasa kawatupa maana hamwonekani kuwa na shida,mlisaliti imani za watz,sasa mwavuna mlichopanda,,,,,shame on you
 
Back
Top Bottom