miradibubu
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 312
- 84
Kesho solidality inaendelea na ukweli utajulikana kwani wazee wanazidi kuchanganyikiwa hawana la kwao watajuta kutuibia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?

Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa misingi ya Katiba na Sheria. Ingawa Mh. Rais anayo madaraka makubwa ya kikatiba na kisheria sio sahihi kumtaka Mh. Rais atumie madaraka yake pale pasipostahili. Rais hastahili kuingilia mambo ya ndani ya UDOM. Yale wahadhiri na wanafunzi wanayoyaita "MADAI" sio kazi ya RAIS. Tusijaribu kuidhalili OFISI na KAZI ya RAIS wa nchi yetu.
UDOM inatawaliwa na sheria na utaratibu wake wa kutatua migogoro. Hao wahadhiri walitegemewa kufahamu hilo. Jana niliwaona hao wahadhiri wakishikana mikono na kuimba kama kundi la wanafunzi na wanaharakati. Jambo hili lilinisikitisha saaaana. Kwa kweli kama wale niliowaona ndio wahadhiri wa UDOM basi Prof. Kikula unayo kazi. Hawa wahadhiri hawana msaada kwa wanachuo wetu na ndio maana wanafunzi wa vyuo vyetu vikuu wakija makazini ni SHALLOW na walalamishi wasiotaka kujifunza utaratibu. Nilimsikia huyo kiongozi wa hao wahadhiri akitoa sababu ya kitoto (PATHETIC reason) kwa nini hao wahadhiri wanamtaka Mh Rais aende UDOM. Sitashangaa nikiambiwa kuwa hawa wahadhiri hawajasoma Sheria iliyoanzisha UDOM na mamlaka za UDOM zenye wajibu wa kuwasikiliza. Wananchi wanapodai Katiba mpya ni lazima wafahamu kuwa baadhi ya wahadhiri wetu ni shallow na wanatuletea wafanyakazi dhaifu wasioweza kutekeleza wajibu wao na matokeo yake watu wanadhani kuwa tatizo ni sheria au katiba kumbe tatizo ni wanafunzi wasiopikwa na kuiva.
Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?
The Hunter said:Hatahivyo ni unafki wenu tuu, nani aliwatuma mumchangie? mmeshamwona akikanyaga UDSM? anajua pale pamoto.
Hao ndo ccm muwajue mapema.BALONEY!!
Hatahivyo ni unafki wenu tuu, nani aliwatuma mumchangie? mmeshamwona akikanyaga UDSM? anajua pale pamoto.
Hao ndo ccm muwajue mapema.
Ndiyo, wapigwe mabomu hadi watakapotambua kuwa kujikomba siyo suluhu ya matatizo!!Wanafunzi wa udom siku za nyuma walimchangia Mh. dr.kikwete jumla ya shilingi milion moja ili aweze kuchukulia form ya urais, wakati huo walimsaidia ili aweze kutatua tatizo lililokuwa linamkabili la kughalamia form hizo. kwasasa maswahiba wake waliomsaidia kipindi kile nao wametembelewa na tatizo la ukata hali inayofanya maswahiba hao kutokujua hatima ya maisha yao. Ikiwa kama wakereketwa wa chama na waliomuwezesha kuchukua form hizo, kwanini hawasaidii maswahiba wake hasa kipindi hiki kigumu kwao, au suruhisho ni kuwapiga na mabom?