Mgomo wa walimu na maamuzi ya Serikali, Mahakama

Mgomo wa walimu na maamuzi ya Serikali, Mahakama

hii habari imeandikwa mno kiushabiki, kama vile kuiunga mkono hatua hiyo....kwani walisindwa nini kuandika "viongozi wa CWT Dodoma wakamatwa'? Inaonekana ni viongozi wote wa CWT...mi nilidhani bwana Mkoba ndo amekamatwa


by the way, Tsvangirai si alitokea huku huku?
 
Imetolewa mara ya mwisho: 19.11.2008 0123 EAT

Kwa upande wa walimu wa Manispaa ya Iringa baada ya kutangaziwa na kaimu mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Dkt. Nicholaus Mgumba kuwa malipo yao yapo tayari walionekana wenye nyuso za tabasamu huku wakiimba CCM hoyee!


Kama ni kweli huu ni upande wa pili wa ujinga wa walimu na naanza kuiamini joke niliyoiona kule kwenye jokes kuhusu walimu na sisiemu kuwa si joke tena bali ni kweli!
 
19.11.2008 @21:05 EAT

Teachers' payments start, many claims slashed
By The Citizen Reporters

The Ministry of Finance has disbursed Sh1.8 billion to three districts in Dar es Salaam region for paying out teachers' claims to stem an off and on countrywide strike on the matter.

Ilala has been provided with Sh914 million, Kinondoni Sh583 million and Temeke Sh331.6 million, official sources affirmed yesterday.

Steven Kongwa, the Temeke municipal director said they received the money from the Treasury from Monday evening and they are processing the lists of claims so that they start paying right away.

Mr Kongwa said Temeke teachers were demanding Sh352.2 million but some claims have been slashed after it came to light that they were supported by improper documents.

Apprehension among teachers across the country amplified yesterday as officials were making final touches on documents to be used on their various claims.

There was general concern among teachers regarding the computation the district authorities were making on their claims.

Hezekiah Oluoch, the deputy general secretary for the Tanzania Teachers Union (TTU) said there are a lots of claims which have been rejected and the responsible officials will need to make an explanation on the rejection.

He listed the shortfall arising from disputed or rejected claims from each council as Sh153 million for Ilala, Temeke Sh146 million and Kinondoni Sh831.541 million.

A lot of explanation was needed to substantiate the Government's slashing, he asserted. He blamed the Treasury for not engaging the teacher�s body when verifying the claims.


In Morogoro, the municipal council had received Sh71 million for payment of 215 teachers. The payment was set to start today and yesterday Education Department officials were busy preparing cheques.

Municipal director Raphael Ndunguru and municipal education officer Qeen Mlozi could not be reached for comment as they were outside the region.

However, some of the teachers were heard lamenting that allocated amounts did not tally with their claims and that the verification method used by the government was not right.

The teachers said their total claim were over Sh100 million, but after verification some teachers will receive below the amount they claimed and a few would receive nothing at all.

One teacher told this paper that his claims amounted to Sh650,000 but after the review, the government list shows that he was entitled to Sh240,000 only.

Ulanga District Council director Alferd Luanda said that in the district teachers would receive a total of Sh63 million. The district was looking for money to settle the debt, he stated.

In some areas, like Arusha, payments had already started and Sh100.9 million was paid as outstanding arrears to 399 teachers working under the district, doubling up as a municipality.

But despite the payment, TTU officials here maintain that there were some pending payments from the Government.

TTU chairman in Arumeru, Elyphasy ole Saitabao said that given the amount which has been paid, there was a shortfall of Sh114.6 million for 282 teachers.

District council officials were not immediately available to comment on the alleged shortfall. However, at the local authority for the eastern side of the district, Meru council officials said Sh87.6 million will be paid to teachers in outstanding arreas.

The payment started yesterday and continues today, officials noted.
 
Date::11/20/2008
Walimu sasa wamgeukia Chiligati wataka awaombe radhi

Na Gedius Rwiza na Aziza Nangwa
Mwananchi

WALIMU wamemtaka Katibu wa Itifaki na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, John Chiligati awaombe radhi kwa kauli aliyoitoa kwamba viongozi wa Chama cha Walimu nchini (CWT) wakamatwe na wachukuliwe hatua.

Hayo yasemwa jana na walimu wa ajira mpya waliokuwa Tume ya Usuluhishi kudai malipo yao baada ya kukwama jijini Dar es Salaam kwenda mikoani walikopanigwa kwa kukosa nauli.

"Sisi umuhimu wetu unaonekana wakati wa uchaguzi lakini kwa sasa CCM hakioni umuhimu wetu, lakini natumaini kwamba wataona umuhimu wetu wakati wa uchaguzi mwaka 2010 ," alisema mmoja wa walimu hao.

Mwalimu huyo alidai: "Walimu tumekuwa tukidanganywa kwa kupewa kofia na tisheti wakati wa uchaguzi bila kufahamu kwamba tunapoteza haki zetu, kwani wahusika wanapomaliza uchaguzi na kuingia madarakani wanatusahau na alilolifanya Kapteni Chiligati ni mfano wa kutosha kwa mwalimu atakayekuwa anaelewa," alieleza.

Walimu hao walisema kuwa wanaendelea kupata shida kwa kutolipwa tangu walipoajiriwa Julai, mwaka huu hadi sasa hali inayowafanya kuishi kama ombaomba mijini, na badala yake wizara inawaambia kuwa wanatakiwa kurudi mikoani bila kuwalipa haki zao.

Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch ambaye alikuwa ameongozana na walimu hao alisema hata huko hawakufikia muafaka hivyo wanategemea kukutana na uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jumanne wiki ijayo.

Wakati huo huo, baadhi ya walimu katika Manispaa ya Kinondoni wameilalamikia halmashauri hiyo kwa kuwalipa fedha nusu za madai yao tofauti na walivyotarajia kulipwa na serikali hali inaoonyesha kuwepo utata katika malipo hayo.

Akizungumza na Mwananchi mmoja wa walimu hao alisema kwamba alikuta jina lake halipo na kwamba kuna upungufu mkubwa katika hilo kwa sababu halmashauri hailipi madai ya miaka yote kuanzia 2004 hadi 2008, badala yake wanalipwa ya mwaka mmoja tu.

Alisema kuwa baada ya kuhoji zaidi sababu ya kuwalipa mwaka mmoja na mwingine kurukiwa waliambiwa kuwa halmashauri imepewa fedha kidogo zilizotolewa na serikali na kwamba fedha za kuwalipa miaka yote haziwezi kupatikana.
 
Bongo sasa kumekucha. Kipigo watakachokipata CCM 2010 toka kwa walimu, wanafunzi wa vyuo vikuu, wakulima na wafanyakazi ambao wamechoshwa na ahadi za uwongo katika mambo mbali mbali kitakuwa bab kubwa, wajiandae kufanya wizi wa kura wa hali ya juu vinginevyo wanaweza kupotea kabisa katika anga za kisiasa.
 
Back
Top Bottom