Mwanjala Shigali
Member
- Sep 16, 2013
- 11
- 0
Udsm nacho cha kata??
Hapana,udsm sio cha kata,uhalisia wa kwa nini wakiite cha kata kwa sababu wanashiniza lakini wapi hata hawasikilizwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udsm nacho cha kata??
hao wanaogoma wamepata admission na majina yao yametoka kuwa wame-qualify kupata mkopo.Mkuu sheria ya mkopo ipoje kwani ukiomba mkopo lazima upewe?
Hapa sielewi kitu. Ni kwamba hao wanafunzi wamesaini boom ila pesa haijaingizwa kwenye accounts zao au bado hata hawajasaini?!?
il mtembelee blog yake.Si ungeweka tu moja kwa moja hizo picha
wanagoma tayari ni wanufaika wa mkopo ila serikali sikivu wanadai haina pesahao wanaogoma wamepata admission na majina yao yametoka kuwa wame-qualify kupata mkopo.
mbona pesa zakuiba zipo ila za maswala ya msingi mnajifanya kuuliza maswali ya kijinga??
hakuna mtu aliesain bumu
hakuna mtu aliesain bumu
Acha zarau mkuu,ni bora ungepita tu kimya kimyamm nilishasahau bumu.....teh teh laki 2 kwa mwezi....ndogo sana....hlf unaichelewesha???