Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

Ni huruma sana, maisha ya chuo huku njaa inauma asikwambie mtu, material wapate wapi? stationery waendeje? na huku lecturer anataka asignment yake, internet waingie vipi bila hela?? ni hatari, ila kuna wengine wanagoma wapate hela ya pombe na bangi aha ha ha ah chuo bana. Wapewe haki zao.
 
Wote wanaosema ndo ubaya wa vyuo vya kata ungekuwa wewe ungevumilia? Kwa nn wasisitishe posho za hao wa mjengoni wawape wanafunzi pesa zao. Kama unanjaaa hakuna utachoelewa darasani ata ufanyeje.
 
Mkuu sheria ya mkopo ipoje kwani ukiomba mkopo lazima upewe?
hao wanaogoma wamepata admission na majina yao yametoka kuwa wame-qualify kupata mkopo.
mbona pesa zakuiba zipo ila za maswala ya msingi mnajifanya kuuliza maswali ya kijinga??
 
Halafu huyo Naibu waziri wa fedha ndo anautaka urais wakati juzi kadanganya kuomba msamaha hela zishafika!!!Hili limemshinda ndo ataiweza nchi??PM katuma RC na N/W wa afya hawajatoa ufafanuzi wowote wa kueleweka afu yuko kimya watu wamepigwa mabomu.nae anautaka urais!!!
 
yaani hii nchi wenye matukio ndo wanautaka urais.Mwingine nae katuletea MB 8 afu kajiona creative kichizi na cybercrime law afu anajiona anafaa kuwa rais. HOPELESS SYSTEM and hopeless country
 
sasa hela hamjaleta afu mnapiga mabomu watu na kuwapeleka lock up.Mnatumia hela kujaza mafuta kwenye defender na kujaza mabom risasi na maji ya kuwasha zote hela hizo ila hela za mambo ya msingi hakuna!!!
AU mtasema CHADEMA wanahusika na huu mgomo??? yaani inakera....Na nyie wabunge mmekaa kimya tu wakati sisi tunapigwa mabomu tukidai haki zetu ni halali hii???
MUNGU wa mbinguni tuhurumia na tusaidie katika shida hizi.
 
11143103_850719391664831_1049519100855774980_n.jpg
 
Hili suala la mgomo na ukamataji huwa silielewi.

Maana hakuna uhalisia zaidi ya mikwara.
Kimantiki Wananfunzi wote ni sehemu ya Waandamanaji na wakiamua wote waswekwe rumande/wakamatwa au wajisamilishe Polisi kwa hiari au lazima maana wenzao wako ndani-mwisho wasiku Serikali ndiyo yenye kuumbuka.

Hakuna mahali Umma umepata kushindwa mbele ya Serikali toka enzi iko hivyo
.

Hakikisheni wenzenu wanaachiwa bila masharti na kama wanataka kuwapeleka mahabusu na kuwafungulia mashitaka basi wote muwewashirika.
 
Back
Top Bottom