Tetesi: Mgomo wa Wasafirishaji Dar kuanza Tarehe 1 Julai 2026

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Kutoka mitandaoni, mwaka huu CCM maji wataita mma, CCM wanajitengenezea matatizo



Nimekutana na hii video, Kumbe LATRA walisema wataenda na Police?, mwenye video ya Henche anavoelezea Tanzania mapolisi kujazana Dar aweke hapo chini.

Pia tunaomba anayemfahamu huyu mmliki wa MOFAT ni nani, Wazalendo tupeni details kamili, yaani jamaa alilalamika anapata hasara ikabidi watoe daladala zote?
Your browser is not able to display this video.
 
Nawapa zengine za ndani.Huko JWTZ si mda watageukana wamewachoka baadhi ya maafisa wao na mkuu wa majeshi
Mnawafanya watanzania wajinga ee?

Mbinu zile zile za okt29 ndzo bado mnazitumia mara jeshi wamegeukana, mara wapo nyuma yenu?

7.7 usije kaa nyumbani, uje uingie barabarani uone jeshi lilivyogeukana
 
Huwa nashindwa kupata logic kabsa unapo zuia daladala, eti kwa sababu ya mwendokasi? Logic yake ni ipi hasa?

Wengi mtasema kupunguza foleni, lakini ukweli ni kwamba si daladala zinazo sababisha foleni, foleni yetu inasababishwa large number of car ownership (private car), inadequate of infrastructure, & Poor transport planning system, lakini haya majitu hayaoni hizi kero yame- relax maofisini daladala ziondolewe.

Kwanini wasiache soko lenyewe liamue? Huu mradi wa BRT tukubali tumeshindwa ni lazima tuwaze njia mbadala, vinginevyo matatzo yatabaki pale pale kila siku.

Ila kwa sababu hii serikari iliyopo ni Idiocracy I know nothing will change wataendelea na ujinga wao tu ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…