CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Serikali haramu na dhalimu inawaumiza wananchi kwa vile wameingia madarakani kwa mtutu wa bunduki hawana haja ya kuwasikiliza tena wananchi.
Yaani napatwa na mashaka kama. Nchi yetu sio failed State, imagine watu wakasema Daladala zitoke mbagalaga ibaki mwendokasi. Yaani ni kama wanachochea maandamanoSerikali haramu na dhalimu inawaumiza wananchi kwa vile wameingia madarakani kwa mtutu wa bunduki hawana haja ya kuwasikiliza tena wananchi.
Hiyo migogoro inamuathiri vipi Samia?Samia anatakiwa alione hili, ndani ya serikali kuna watu wanachochea migogoro kati ya Serikali na wananchi
Mzee wa msoga + rostam ndiyo wamiliki....sasa sijui ni Nani mwenye ubavu wa kuwaondoaNa hilo watasingizia mambeberu wanawivu.
Inabidi tufanye utafiti nani mmiliki wa Mwendokasi, yaani haiwezekani mtu aseme njia ya mbagala asiwepo Daladala
Sukari ni balaa hizo za bei yenye unafuu zina michanga, wapika keki nao wanatoa milio hukoKumbe na sukari nayo imepanda 😀
Watu mbagala wanamka saa nane usiku na wanakuta daladala ziko mzigoniYaani napatwa na mashaka kama. Nchi yetu sio failed State, imagine watu wakasema Daladala zitoke mbagalaga ibaki mwendokasi. Yaani ni kama wanachochea maandamano
Lengo ni kupunguza idadi ya routesKesho daladala zitakuwepo kama kawaida hawa watu wa daladala hawana ubavu wa kugomea tunawajua vizuri Sana
Kwenye mkataba Kati ya mofat na serikali kuna kipengele kinawapa mofat kuondoa daladala zote kwenye ruti Yao ndiyo maana walikubali kuleta hizo bus...Kwa kifupi mwenye UJINGA ni serikali ambaye amekubali kifungu hiki kupitishwa kwenye mkataba.Lengo ni kupunguza idadi ya routes
Kakazwe kwa kutetea kijambio chakoMnawafanya watanzania wajinga ee?
Mbinu zile zile za okt29 ndzo bado mnazitumia mara jeshi wamegeukana, mara wapo nyuma yenu?
7.7 usije kaa nyumbani, uje uingie barabarani uone jeshi lilivyogeukana
Haya maneno sio mageni JIJINI..Nawapa zengine za ndani.Huko JWTZ si mda watageukana wamewachoka baadhi ya maafisa wao na mkuu wa majeshi
Kwa hiyo mwendokasi wa gongo la mboto,mjini kwenda tegeta bunju nao ukisha daladala za huko nao wakae mguu sawaKwenye mkataba Kati ya mofat na serikali kuna kipengele kinawapa mofat kuondoa daladala zote kwenye ruti Yao ndiyo maana walikubali kuleta hizo bus...Kwa kifupi mwenye UJINGA ni serikali ambaye amekubali kifungu hiki kupitishwa kwenye mkataba.
Daladala zinaenda kuzikwa kwenye hii ruti ya mbagala
Siyo dulla?Na hilo watasingizia mambeberu wanawivu.
Inabidi tufanye utafiti nani mmiliki wa Mwendokasi, yaani haiwezekani mtu aseme njia ya mbagala asiwepo Daladala
Sijajua, ila hainiingi akilini kutoa daladala ili mwendashaji awe mmoja tuSiyo dulla?
Majanga makubwaSijajua, ila hainiingi akilini kutoa daladala ili mwendashaji awe mmoja tu