Tetesi: Mgomo wa Wasafirishaji Dar kuanza Tarehe 1 Julai 2026

Tetesi: Mgomo wa Wasafirishaji Dar kuanza Tarehe 1 Julai 2026

Nawapa zengine za ndani.Huko JWTZ si mda watageukana wamewachoka baadhi ya maafisa wao na mkuu wa majeshi
Kama zimeweza kukufikia wewe hizo ni za juu juu
Sio za ndani
 
Yaani Mzee wa Kino kuna watu serikalini wanachofanya ni kama kuihujumu serikali iliyopo. Imagine watu wanaamua kumpa biashara inayogusa mamilioni ya watu mtu mmoja bila kujali chochote.
Niliwahi kuandika hili jambo hata kauli za , shekhe mwaipopo bado ni hujuma kwa Rais wewe unaenda kujenga ICD kwenye eneo la jeshi kweli?
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Lakini watanganyika kila sehemu ni kilio tu hakuna wenye furaha.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa hiyo mwendokasi wa gongo la mboto,mjini kwenda tegeta bunju nao ukisha daladala za huko nao wakae mguu sawa

Ova
Panga Lao mitaa hiyo linakuja... Mikataba hii ya hovyo hakuna daladala itatembea kwenye barabara kuu
 
Yaani Mzee wa Kino kuna watu serikalini wanachofanya ni kama kuihujumu serikali iliyopo. Imagine watu wanaamua kumpa biashara inayogusa mamilioni ya watu mtu mmoja bila kujali chochote.
Unaishangaa serikali mnayoitetea daily? Pumbafu sana nyie
 
1000234008.png


Hili agizo la LATRA sio tu halitekelezeki ila halina logic yoyote

Yaani MOFAT kisa alinunua magari 200 na watu hawapandi hayo magari ndio uue maelfu ya biashara zingine.

Safi sana wasafirishaji mlioamua kupuuzia Katazo la LATRA na endapo watafanya mpango wao wa kutumia nguvu, hatua inayofuata ni kupunguza magari mkoa mzima, tuone kama watu hawaingia barabarani kuchoma mwendokasi
 
1000285928.png


1000285929.png


Kuna kitu watu hawajakiona lakini kuna crisis inakuja kwenye sekta ya usafirishaji, itakayo itikisa nchi
 
Back
Top Bottom