Tetesi: Mgomo wa Wasafirishaji Dar kuanza Tarehe 1 Julai 2026

Serikali haramu na dhalimu inawaumiza wananchi kwa vile wameingia madarakani kwa mtutu wa bunduki hawana haja ya kuwasikiliza tena wananchi.
Yaani napatwa na mashaka kama. Nchi yetu sio failed State, imagine watu wakasema Daladala zitoke mbagalaga ibaki mwendokasi. Yaani ni kama wanachochea maandamano
 
Na hilo watasingizia mambeberu wanawivu.

Inabidi tufanye utafiti nani mmiliki wa Mwendokasi, yaani haiwezekani mtu aseme njia ya mbagala asiwepo Daladala
Mzee wa msoga + rostam ndiyo wamiliki....sasa sijui ni Nani mwenye ubavu wa kuwaondoa
 
Yaani napatwa na mashaka kama. Nchi yetu sio failed State, imagine watu wakasema Daladala zitoke mbagalaga ibaki mwendokasi. Yaani ni kama wanachochea maandamano
Watu mbagala wanamka saa nane usiku na wanakuta daladala ziko mzigoni
Watu wanaenda kwenye shuguli zao sasa hawa mwengokasi/mofat wataweza kweli

Ova
 
Kesho daladala zitakuwepo kama kawaida hawa watu wa daladala hawana ubavu wa kugomea tunawajua vizuri Sana
 
Lengo ni kupunguza idadi ya routes
Kwenye mkataba Kati ya mofat na serikali kuna kipengele kinawapa mofat kuondoa daladala zote kwenye ruti Yao ndiyo maana walikubali kuleta hizo bus...Kwa kifupi mwenye UJINGA ni serikali ambaye amekubali kifungu hiki kupitishwa kwenye mkataba.

Daladala zinaenda kuzikwa kwenye hii ruti ya mbagala
 
Kwa hiyo mwendokasi wa gongo la mboto,mjini kwenda tegeta bunju nao ukisha daladala za huko nao wakae mguu sawa

Ova
 
Hao jamaa hua hawafanyi utafiti kwanza wanakurupuka tu au akili hawana anyway upumbavu ni mwingi nchi inaendeshwa kama troll la mzigo
 
Wakitishwa wananywea. Takataka.
Kuweni na msimamo, kuweni tayari kufa, then you will win!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…