Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
Siwaiungi mkono,sukari ilipotea kidogo kurudi wakatupandishia Bei,waliona sawa.
Wacha ile waendelee na mgomo mwezi mzima,leseni ziko palepale watalipa na Kodi nyingine