Mgomo wafanyabiashara ni mfano mzuri

Mgomo wafanyabiashara ni mfano mzuri

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Imesaidia kuonyesha upuuzi wa serikali kwa wananchi. Serikali inapoteza mapato makubwa. Wafanyabiashara / wananchi wamedhihirisha wana nguvu kuliko serikali waliokosea kuipa nchi. Machine za EFD ni njama ya kuiba fedha kwa wananchi ili iende kwa Chama Cha Mapinduzi.
 
Hao. Wanaofunga maduka il I kuishinikiza kutotumia mashine fed wanapoteza muda wao tu
 
Hao. Wanaofunga maduka il I kuishinikiza kutotumia mashine fed wanapoteza muda wao tu
Bro wanapoteza muda pamoja na pango lao na sisi wengine tunangoja waondoke ili nasi tupate sehemu kariakoo za kufanya biashara.
 
Manjonzi yamsiba anayeyajua nimfiwa.hili jambo sijepesi km mnafikiri km ww nimfanyabiashara unatumia mashine hizo ndio unajua ugumu wake. Wanataka mzunguko wamauzo bila kujua manunuzi yajoje.
 
Back
Top Bottom