Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

naomba wenye info kuhusu hali katika vyuo tajwa hapo juu wapost updates kupitia hii thread!
 
IFAHAMU UDOM KIUNDANI. wakati chuo cha sayansi ya jamii leo wanagoma/tayari chuo cha mawasiliano kimefungwa kutokana na mgomo uliopita..wakati huohuo chuo cha elimu wao wanapata tetesi tu kuwa wenzao wanagoma na hawana habari kuwa kuna chuo kimefungwa/..wakati huo tena chuo cha uuguzi wao wapo rikizo na sidhani kama wanahabari hizi.Hii kifupi inaitwa devide and rule.KIKUBWA TUWAOMBE VIJANA HAWA KWANI HITAJI LAO LINA MAANA KTK MAISHA YAO.God will protect u
 
Wanachuo ndo wanajiandaa kuelekea bungeni
 
ni kweli ndugu yangu kwani tayari kunamgawanyiko kwa kila kundi kuangalia maslai yake na hakuna sapoti yoyote.
 
Wanafunzi wa udom kitivo cha sayansi ya jamii kuandamana kwenda katika ofice za waziri mkuu baada ya ahadi waliyopewa na waziri wa Elimu mh Kawamba kuwa watewa fedha ya mafunzo kwa vitendo kwa mwaka 2010-2011 wameambiwa kwamba serikali haina hela nawasilisha wanJF.
 
Wanafunzi wa udom kitivo cha sayansi ya jamii wandamana kwenda katika ofice za waziri mkuu saa kumi na mbili na nusu asubuhi baada ya ahadi waliyopewa na waziri wa Elimu mh Kawamba kuwa watewa fedha ya mafunzo kwa vitendo kwa mwaka 2010-2011 wameambiwa kwamba serikali haina hela nawasilisha wanJF.
 
Godbless Lema usiku wa kuamkia leo ametoka Udom saa 9 usiku tangu alipo kuja saa 5 usiku kupanga namna ya maandamano na mbinu mbalimbali! Lakini Lema anaingilia mambo ya Udom? Mimi naona baadala ya mgomo kuwa wa kimaslahi na haki ya wanaUdom anaufanya kuwa wa Kichadema na kuwa wa kisiasa zaidi! Nashauri wanasiasa muwe na ukomo katika baadhi ya mambo!
 
Mimi naamini Lema anauwezo mdogo sana kufikiri na pengine hana agenda comprehensive inayoonyesha tuko wapi na tunakwenda wapi kama taifa. Hii ni hatari sana
 
Thibitisha haya madai yako kwa kuituwekea picha au sauti ya huyo Lema akihamasisha!!embu acheni kushirikisha matatizo ya wanafunzi na siasa

Kama una jamaa anaesoma Udom-College ya Social Science muulize atakwambia Lema alikuwepo mida ya Saa 6 usiku alikuwepo Cafteria
 
Godbless Lema usiku wa kuamkia leo ametoka Udom saa 9 usiku tangu alipo kuja saa 5 usiku kupanga namna ya maandamano na mbinu mbalimbali! Lakini Lema anaingilia mambo ya Udom? Mimi naona baadala ya mgomo kuwa wa kimaslahi na haki ya wanaUdom anaufanya kuwa wa Kichadema na kuwa wa kisiasa zaidi! Nashauri wanasiasa muwe na ukomo katika baadhi ya mambo!

Wewe yaonekana una magamba...Toa ushahidi wa unayosema,kwa picha ama sauti hapa,hakuna vilaza wa kuwaokota kwa maneno makavu au ya ndotoni..otherwise msalimie NEPI!!
 
Godbless Lema usiku wa kuamkia leo ametoka Udom saa 9 usiku tangu alipo kuja saa 5 usiku kupanga namna ya maandamano na mbinu mbalimbali! Lakini Lema anaingilia mambo ya Udom? Mimi naona baadala ya mgomo kuwa wa kimaslahi na haki ya wanaUdom anaufanya kuwa wa Kichadema na kuwa wa kisiasa zaidi! Nashauri wanasiasa muwe na ukomo katika baadhi ya mambo!

marwa thibitisha kauli yako ya kimagamba
 
Join Date : 25th May 2011
Posts : 34
Thanks1Thanked 4 Times in 4 Posts

Rep Power : 0

Tatizo lako bado una chuchu
 
Godbless Lema usiku wa kuamkia leo ametoka Udom saa 9 usiku tangu alipo kuja saa 5 usiku kupanga namna ya maandamano na mbinu mbalimbali! Lakini Lema anaingilia mambo ya Udom? Mimi naona baadala ya mgomo kuwa wa kimaslahi na haki ya wanaUdom anaufanya kuwa wa Kichadema na kuwa wa kisiasa zaidi! Nashauri wanasiasa muwe na ukomo katika baadhi ya mambo!

ACHA KUKURUPUKA. LEMA YUPO ARUSHA NA ALIUNGANA NA MAELFU YA WANA-ARUSHA *KWENYE MSIBA WA BW. MBOGGO ALIYEFARIKI BAADA YA KUPATA AJALI YA GARI MOSHONO MBELE KIDOGO YA MASAI CAMP. TENA TULIKUWA NAYE JIONI HII KWENYE MSIBA HUO. uona sasa unaumbuka
 
Mimi naamini Lema anauwezo mdogo sana kufikiri na pengine hana agenda comprehensive inayoonyesha tuko wapi na tunakwenda wapi kama taifa. Hii ni hatari sana

Unamaanisha ya kuwa watu wa arusha ni wapuuzi kiasi cha kumchagua na kumpenda mbunge mwenye uwezo mdogo wa kufikiri. Tafadhali tutake radhi Joste. Uwezo wa Lema ni mkubwa kupindukia
 
Inaonekana nchi imekuwa ndogo sana, Lema alikuwepo Arusha mpaka jioni na saa 5 usiku anaonekana cafteria udom, kaazi kwelikweli!
 
Madai ya kuwa lema alikuwa udom hayana uhakika wowote na yana lengo la kumchafulia sifa yake.
Lema yupo arusha kwenye mazishi ya mfanyabiashara wa mambo ya utalii anayejulikana kwa jina maarufu la Mbogoo.
Mpaka jana jumapili jion alikuwa msibani kwenye na mazishi yalifanyika kwenye saa 11 na kumalizika mida ya sa12 karibia na sa1 usiku.
Sidhani kama mtu anaweza ku drive toka arusha hadi dodoma kwa masaa5.

Naomba mtoa mada kama anaushahidi angalau wa picha auweke hadharani.
 
Back
Top Bottom