Mgomo wanukia UDSM!

Rev squre kama kawa...ivi kina emeka,al shabab na francis ndungur wamerudishwa? Revolution
 
Rev squre kama kawa...ivi kina emeka,al shabab na francis ndungur wamerudishwa? Revolution

unawajua hao tu machalii ktk harakati sasa kabla ya mjaja hapo kulikuwa na ndunguru mwingine kule udbs alikuwa anapiga bcom finance aisee jamaa aliliwa kichwa na kina masoud na minja kwa ushirikiano mkubwa wa mkandara yani huyu alikuwa mjumbe katika group ya kinaemekha,franci,alishabab n.k....na ryt angekuwepo ule mwaka wa kina emekha jamaa angefanya makubwa mana alikuwa aogopi mtu yoyote...mkandara alimwita mara nyingi mno ofisini kumwonya ila mwisho walimla kichwa aiseee....ila najua ipo cku yule jamaa atarudi kwenye siasa yani madogo mlikosa mengi sana na ndie huyu ndunguru (co francis) aliepigania akiwa na kina marwa hadi bumu likapandishwa....hakika udbs haitawasahau ndunguru,emekha,francis ndunguru na wanaharakati wengine wa bcom
 
Labda tugomee hukuhuku jamvin
coz work zenyewe majanga
uwaambie watu wagome
nan hamjui SAGO ???!
 

yule ilieandamana peke yake hadi ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…