Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini vijana wa Udsm hawako tayari kuingia kwenye mgomo. Uliyosema usafiri umepanda nani kakunyetisha,pia bei ya vyakula iko palepale....acha kuupotosha umma vijana wasome na wapate maarifa tatizo mnatumika sana kisiasa...
is it WE or US??????????Tumechoka.Nchi inaelekea wapi?.Naililia nchi yangu sitaki ifike sehemu ambayo kila mmoja wetu akumbuke tulipotoka.Why always we?
Napita tu
Hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-Bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku maeneo ya cumpus.
Source:mmoja wa wanaharakati wakereketwa{jina kapuni}.so wadau mjipange huko mliko,maana mwaka huu kuna kunji litatokea.over..
Haitawasaidia hiyo ndg
zangu! Kuna njia nyingi tu mbadala za kutatua hiyo migogoro. Uzoefu ni
kwamba wanaopoteza sana mwisho wa siku ni wanafunzi.
Kama ni kwa 1st year wengi kukosa mkopo kwa nini ule Umoja we vyuo vikuu Tz wasiliangalie hili na kulisemea? Kwani mkigomaa UDSM tu watawapiga mabomu na watu kufukuzwa. Kama raisi wa Umoja huo yupo jamvini naomba alitolee ufafanuzi hili la watu wengi wa mwaka wa kwanza kukosa mkopo?
duh....yani mimi nahisi kuchanganyikiwa aisee yani pamoja na kupita special school olevo na kutia div 1 ya 11 na kutia div 1 ya tisa alevo still sina mkopo halafu nimepangiwa electrical engineering yani kichwa kinauma shule itakuwa vipi bila mkopo miaka minne yote.....nina mtihani mkubwa sana mbele
1 ya 11 a level?
Nadhani mkuu wewe mgumu kuelewa sana hebu check vizuri nilipost kiufasaha kabisa olevo div 1 ya 11 na alevo div 1 ya 9.nadhani ndio nyinyi kutia kijiti kwenu imekuwa ndoto na loan mnapata halafu mnapiga kelele na div 3 zenu chafu sio kwamba nitaacha chuo upate kufurahi vizuri mimi nitasoma na kila kitu kitakuwa poa tu
kaka vijiti vyako kachimbie mihogo!! kitu 3 ya 13 boom lote hadi na extra!!! poor pple!!
hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku maeneo ya cumpus.
Source:mmoja wa wanaharakati wakereketwa{jina kapuni}.so wadau mjipange huko mliko,maana mwaka huu kuna kunji litatokea.over..
Hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-Bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku maeneo ya cumpus.
Source:mmoja wa wanaharakati wakereketwa{jina kapuni}.so wadau mjipange huko mliko,maana mwaka huu kuna kunji litatokea.over..
Vitoto vya UDSM siku hizi ukisikia vimegoma usidhani ni Rasimu ya Katiba, au sera yoyote inayodhaniwa kuangamiza nchi, wao ni Boom tu. Ukivipa Boom on time, ukashusha bei ya ubwabwa Canteen umesha wa win, ni sawa na wale mababu wanaopewa mbege halafu Ardhi anapewa mwekezaji hata ufanyeje hutawaskia wakijdai kuandamana!