Mgomo wanukia UDSM!

Mgomo wanukia UDSM!

JKT hakuna majadiliano n full actions,
 
Naamini vijana wa Udsm hawako tayari kuingia kwenye mgomo. Uliyosema usafiri umepanda nani kakunyetisha,pia bei ya vyakula iko palepale....acha kuupotosha umma vijana wasome na wapate maarifa tatizo mnatumika sana kisiasa...

saaaaaaafi!
 
Hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-Bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku maeneo ya cumpus.
Source:mmoja wa wanaharakati wakereketwa{jina kapuni}.so wadau mjipange huko mliko,maana mwaka huu kuna kunji litatokea.over..

Madogo nyie hamna pointi za kugoma, nitamtaarifu kova aandae ffu wa kumwaga wawatandike.
Ova.
 
Haitawasaidia hiyo ndg
zangu! Kuna njia nyingi tu mbadala za kutatua hiyo migogoro. Uzoefu ni
kwamba wanaopoteza sana mwisho wa siku ni wanafunzi.

uve ulinKinga? ndeti!
 
Kama ni kwa 1st year wengi kukosa mkopo kwa nini ule Umoja we vyuo vikuu Tz wasiliangalie hili na kulisemea? Kwani mkigomaa UDSM tu watawapiga mabomu na watu kufukuzwa. Kama raisi wa Umoja huo yupo jamvini naomba alitolee ufafanuzi hili la watu wengi wa mwaka wa kwanza kukosa mkopo?

duh....yani mimi nahisi kuchanganyikiwa aisee yani pamoja na kupita special school olevo na kutia div 1 ya 11 na kutia div 1 ya tisa alevo still sina mkopo halafu nimepangiwa electrical engineering yani kichwa kinauma shule itakuwa vipi bila mkopo miaka minne yote.....nina mtihani mkubwa sana mbele
 
1 ya 11 a level?
 
ukiibiwa simu na askari kipindi cha purukushani za kupigwa mabomu ujue mwizi wako ni mimi kwani lazima nishiriki katika hilo zoezi na mimi zangu huwa ni wizi wa simu tu.
 
1 ya 11 a level?

Nadhani mkuu wewe mgumu kuelewa sana hebu check vizuri nilipost kiufasaha kabisa olevo div 1 ya 11 na alevo div 1 ya 9.nadhani ndio nyinyi kutia kijiti kwenu imekuwa ndoto na loan mnapata halafu mnapiga kelele na div 3 zenu chafu sio kwamba nitaacha chuo upate kufurahi vizuri mimi nitasoma na kila kitu kitakuwa poa tu
 
kaka vijiti vyako kachimbie mihogo!! kitu 3 ya 13 boom lote hadi na extra!!! poor pple!!
 
nadhani ndio nyinyi mnakimbilia education mpate msamaha wa mkopo....wakati mkopo ni probability nenda kashike chaki mje kusumbuana na serikali katika mishahara huku bodi wanakudai hela hayo
 
Vitoto vya UDSM siku hizi ukisikia vimegoma usidhani ni Rasimu ya Katiba, au sera yoyote inayodhaniwa kuangamiza nchi, wao ni Boom tu. Ukivipa Boom on time, ukashusha bei ya ubwabwa Canteen umesha wa win, ni sawa na wale mababu wanaopewa mbege halafu Ardhi anapewa mwekezaji hata ufanyeje hutawaskia wakijdai kuandamana!
 
hii ni ndoto mnaota mchana wanafunzi wengi hapo chuoni hawajiamini na ni waoga wa kufanya mgomo ata kama bei ya shuttle itakua mia 5 amtachukua hatua zozote, kingine sidhani kama hapo juu kuna wanaharakati labda sijui nini maana ya harakati.
 
hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku maeneo ya cumpus.
Source:mmoja wa wanaharakati wakereketwa{jina kapuni}.so wadau mjipange huko mliko,maana mwaka huu kuna kunji litatokea.over..

NInavyoiona udsm ya ss hiv wagomaji hamna,
 
Hawa vijana si wameenda JKT na waliapa watakuwa na utii? Imekuwaje tena😕?
 
Hawa fist year wamefunzwa ukakamavu na jkt...police wajipange sana kuwadhibiti...unless otherwise jkt na matatizo ya nchi yetu serikali itaendeshwa na hawa vijana wanao tafuta hadhma ya maisha yao' bila mkopo chuo hakiendi.
 
Hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-Bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku maeneo ya cumpus.
Source:mmoja wa wanaharakati wakereketwa{jina kapuni}.so wadau mjipange huko mliko,maana mwaka huu kuna kunji litatokea.over..

huo si mgomo bali JKT vs FFU
 
Vitoto vya UDSM siku hizi ukisikia vimegoma usidhani ni Rasimu ya Katiba, au sera yoyote inayodhaniwa kuangamiza nchi, wao ni Boom tu. Ukivipa Boom on time, ukashusha bei ya ubwabwa Canteen umesha wa win, ni sawa na wale mababu wanaopewa mbege halafu Ardhi anapewa mwekezaji hata ufanyeje hutawaskia wakijdai kuandamana!

umejuaje au.. myb una mume pale.. anaekutoboalea hizi khabar?
 
Back
Top Bottom