Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 Oct 9, 2024 #1 Wadau kuna watu ni wakorofi hasa wakigundua kuwa eneo alilonalo ni dogo hivyo hulazimika kufanya uhuni kama huu. Najua kuna wengi yamewakuta kama haya.
Wadau kuna watu ni wakorofi hasa wakigundua kuwa eneo alilonalo ni dogo hivyo hulazimika kufanya uhuni kama huu. Najua kuna wengi yamewakuta kama haya.
K kovai tamil taiga JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 1,451 Reaction score 2,059 Oct 10, 2024 #2 Hii ndio inaitwa UBAYA UBWELA ..! Aitwe msemaji aeleze tafsiri ya UBAYA UBWELA.!
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Oct 10, 2024 #3 Aliyejenga kwenye eneo lisilo lake.
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 2,582 Reaction score 4,554 Oct 10, 2024 #4 Na jamaa akishagundua umejenga eneo sio lako hiyo bei atakayokutajia unanunua kiwanja kingine kipya na makaratasi yake With no discount
Na jamaa akishagundua umejenga eneo sio lako hiyo bei atakayokutajia unanunua kiwanja kingine kipya na makaratasi yake With no discount
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Oct 10, 2024 #5 Nini hiki??
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Oct 13, 2024 #7 Duh aiseee
Zee la Mandandu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 1,064 Reaction score 2,603 Oct 13, 2024 #8 kovai tamil taiga said: Hii ndio inaitwa UBAYA UBWELA ..! Aitwe msemaji aeleze tafsiri ya UBAYA UBWELA.! Click to expand... Hahahaaa
kovai tamil taiga said: Hii ndio inaitwa UBAYA UBWELA ..! Aitwe msemaji aeleze tafsiri ya UBAYA UBWELA.! Click to expand... Hahahaaa
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Oct 13, 2024 #9 Wote hao vichaa.. Hakuna aliyekubali jishusha.