Mgomvi nani hapa?

Mgomvi nani hapa?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wadau kuna watu ni wakorofi hasa wakigundua kuwa eneo alilonalo ni dogo hivyo hulazimika kufanya uhuni kama huu. Najua kuna wengi yamewakuta kama haya.


76C1AC69-F026-498C-9774-B729035F9861.jpeg
 
Na jamaa akishagundua umejenga eneo sio lako hiyo bei atakayokutajia unanunua kiwanja kingine kipya na makaratasi yake

With no discount
 
Wote hao vichaa..
Hakuna aliyekubali jishusha.
 
Back
Top Bottom