Mgomvi nani?

Mgomvi nani?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
avatar20616_6.gif


Tusipowaachanisha watauana. Kati yao mgomvi nani?
 
Wa chini kauanzisha na wa juu anauendeleza
 
avatar20616_6.gif


Tusipowaachanisha watauana. Kati yao mgomvi nani?


Mweehh!!! Jamani hapo kuna ugomvi kwani?? mbona wenyewe wanaonekana wako peace tu bana and zei are injoing' zemselvz???

Kama hili nalo ni ugomvi basi hakuna la amani duniani...hahahaa!!!
 
Kuna mdada mmoja jirani yangu hapa nimemwonyesha akasema, "huyo dada wa juu ndiye mgomvi"
 
Kuchokoza, kuchokonoa, kuumiza, kupiga, kubonda, kutwanga, kutusi, kuzodoa....

Basi sidhani kama kuna ugomvi hapo ila tulipokua wadogo kwa baadhi yetu wale waliobahatika kulala na wazazi wao; walikua wanawaona kama vile wanapigana na ndio chanzi cha maneno hayo kupatikana...yaani mtoto akiwaona vile mlivyo anajua mnagombana ati.....mmmh kazi kweli kweli
 
wajuu kamkutta mwenzie kapumzika ananza kumnaniiiii.........!!!!????
 
Mgomvi ni wewe uliye-post hii picha....
 
Mgomvi ni wewe uliengilia starehe zao:suspicious::suspicious:
 
Back
Top Bottom