Kwani Nepi aliwaambia nani?Hao ndio waliofungua kesi?
Tuanze hapo.Hawa jamaa si ndo walisema hawasusi, watalinda kura kwenye masanduku. Sasa wanabishania nini mahakamani?
Halafu njoo hapa.Wanachobishania ni utangazaji wa matokeo baada ya kulinda kura.
Angalia hii.Alishawaambia Nepi, kuna kuhesabu na kutangaza. 😁
Hii ndo jibu langu.Haswa. Waambie nduguzo huko.
Nikumbushe tu kwamba hapa Tanzania hapana Mahakama Kuu ya JMT. Mahakama pekee ya JMT ni mahakama ya rufaa.Kikwazo cha kwanza, sijui Jamhuri ya Muungano ina kadi za turufu ngapi kuchelewesha Haki ya Kesi kuanza kusikilizwa haraka.
Michezo ya kiufudi ya kisheria ya AG Hamza Johari na wanasheria wake wa serikali
AG Jamhuri :
"Kutokana na hoja hiyo, Sekimanga aliomba Mahakama ikubali pingamizi lililowasilishwa na upande wa Serikali, akisisitiza kuwa Mahakama Kuu ya Zanzibar haina uwezo wa kikatiba kusikiliza mashauri yanayohusu mambo ya Uchaguzi wa Wabunge wa Jamuhuri".
Nikum
Nikumbushe tu kwamba hapa Tanzania hapana Mahakama Kuu ya JMT. Mahakama pekee ya JMT ni mahakama ya rufaa.
Tutatambuana huko mbele. Kama kuna wanaolichukulia poa hili, wacha tuone. Kwa mbali naiona mahakama ya katiba ikiundwa, kwani najua hili wakuu watalififiliza lakini ACT iko makini na natarajia imejitayarishaMambo yanazidi kuwa mazito
Na nyie mkawaulisha bure wale watoto wa watu, eti kuzuwia uchaguzi.Nyinyi si mlilinda kura, sasa inakuwaje?
Huu Muungano una kona kona nyingi, Wakati wa Bunge la Katiba ,Mh Lissu alishawahi shauri, kwa kusema kwamba waungwana hukaa chini na kuzitatua changamoto na sio kuzibumba bumba,tusipofanya hivyo sasa,mbeleni ni KIZA, ....wacha miCCM iendelee kushupaza shingo...MUUNGANO tunaupenda na kuhuhitaji ila sio huu wa UJANJA UJANJAHaya matatizo aliyatengeneza J.Kikwete na Aman Karume 2010
Mawakili wa ACT Wazalendo wapo sahihi kwa kesi kusikilizwa Zanzibar kwa shauri la Wabunge wa Muungano
Katiba ya Zanzibar (1984) ina ukuu wa kimamlaka dhidi ya ile ya JMT(1977). Sheria zinazotungwa na Bunge la JMT lazima ziidhinishwe na Baraza la Wawakilishi kabla ya kutumika Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zbar. Maana yake ni kwamba Katiba ya SMZ ina ukuu dhidi ya ile ya JMT.
Marekebisho ya Katiba ya Zanzibar 2010 ndiyo iliyonyang'anya Mahakama kuu ya JMT baadhi ya mamlaka. Kuna mashauri hayawezi kuletwa JMT. Ni yale yale ya Amir Jeshi Mkuu wa JMT na Amir Jeshi Mkuu wa SMZ. Yaani tuna Maamir Jeshi wakuu 2 katika Nchi moja
Mkanganyiko ni pale shauri hilo litamalizwa iwe Mahakama kuu au Mahakama kuu Zanzibar.
Wabunge wa Zanzibar wanapovuka Bahari, gharama zao ni za JMT a.k.a Tanganyika hata kama shauri lao limemalizwa Kizanzibar. SMZ haihusiki na mzigo wa gharama
Ni vurugu tupu! Tanganyika , halafu kama Wazanzibar wakitaka kuwe na serikali ya Muungano! ndogo.
Ni kama watataka kwasababu Watanganyika hawana cha kupoteza
JokaKuu
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni use*nge mtupu, nothing more and nothing less.Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja
Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo Tunguu, wakati Mwanasheria mwanandamizi kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipodai kuwa Mahakama Kuu ya Zanzibar haina mamlaka ya kusikiliza mashauri ya wabunge yanayohusiana na mambo ya Uchaguzi.
View attachment 3529817View attachment 3529818
Mwanasheria wa Serikali, Bi. Nalindwa Sekimanga, akiwa miongoni mwa jopo la wanasheria kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano, alitaja vifungu mbalimbali vya kisheria, ikiwemo Ibara ya 83 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kinachobainisha kuwa mashauri yote ya uchaguzi yanayohusu Wabunge yatasikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania.
Kutokana na hoja hiyo, Sekimanga aliomba Mahakama ikubali pingamizi lililowasilishwa na upande wa Serikali, akisisitiza kuwa Mahakama Kuu ya Zanzibar haina uwezo wa kikatiba kusikiliza mashauri yanayohusu mambo ya Uchaguzi wa Wabunge wa Jamuhuri.
View attachment 3529819
Kwa upande wao, mawakili wasomi wanaowawakilisha waliokuwa wagombea Ubunge wa ACT-WAZALENDO, wakiongozwa na Wakili Msomi Omar Said Shaaban, alipinga hoja hiyo akieleza kuwa Mahakama Kuu ya Zanzibar ina mamlaka ya kusikiliza mashauri yanayohusiana na Muungano.
Shaaban alikinukuu kifungu cha 93(1) cha Katiba ya Zanzibar na kifungu cha 3(1)(a) cha sheria Na.2 ya 1985 kuwa ndio kinachoianzisha, na kuipa mamlaka Mahakama Kuu ya Zanzibar na kwamba mamlaka iliyopewa ni bila ya Kikomo (unlimited) kwa mambo yote na sheria zote zinazotumika Zanzibar ikiwemo za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zilizotungwa na Bunge kama ilivyo sheria ya Uchaguzi. Hivyo Mamlaka ya Mahakama Kuu Zanzibar hayaondolewi wala hayapimiwi na Ibara ya 83 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano katika ngazi ya Mahakama Kuu.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Mahakama imeahirisha kesi hizo hadi tarehe 27 Januari 2026, kwa ajili ya kutoa uamuzi juu ya pingamizi la kikatiba lililowasilishwa na wanasheria kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IMETOLEWA NA IDARA HABARI NA UENEZI ACT WAZALENDO
Hakuna jipya hapa, ila mkiambiwa hakuna uchaguzi bila ya mabadiliko, mnadai mtalinda kura! Chaguzi zimekuwepo, na kesi zinafunguliwa, na mtaishia kupiga chini kama kawaida, na bado mtafanya hivi hivi hapo mbeleni. Akili ni nywele!Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja
Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo Tunguu, wakati Mwanasheria mwanandamizi kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipodai kuwa Mahakama Kuu ya Zanzibar haina mamlaka ya kusikiliza mashauri ya wabunge yanayohusiana na mambo ya Uchaguzi.
View attachment 3529817View attachment 3529818
Mwanasheria wa Serikali, Bi. Nalindwa Sekimanga, akiwa miongoni mwa jopo la wanasheria kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano, alitaja vifungu mbalimbali vya kisheria, ikiwemo Ibara ya 83 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kinachobainisha kuwa mashauri yote ya uchaguzi yanayohusu Wabunge yatasikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania.
Kutokana na hoja hiyo, Sekimanga aliomba Mahakama ikubali pingamizi lililowasilishwa na upande wa Serikali, akisisitiza kuwa Mahakama Kuu ya Zanzibar haina uwezo wa kikatiba kusikiliza mashauri yanayohusu mambo ya Uchaguzi wa Wabunge wa Jamuhuri.
View attachment 3529819
Kwa upande wao, mawakili wasomi wanaowawakilisha waliokuwa wagombea Ubunge wa ACT-WAZALENDO, wakiongozwa na Wakili Msomi Omar Said Shaaban, alipinga hoja hiyo akieleza kuwa Mahakama Kuu ya Zanzibar ina mamlaka ya kusikiliza mashauri yanayohusiana na Muungano.
Shaaban alikinukuu kifungu cha 93(1) cha Katiba ya Zanzibar na kifungu cha 3(1)(a) cha sheria Na.2 ya 1985 kuwa ndio kinachoianzisha, na kuipa mamlaka Mahakama Kuu ya Zanzibar na kwamba mamlaka iliyopewa ni bila ya Kikomo (unlimited) kwa mambo yote na sheria zote zinazotumika Zanzibar ikiwemo za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zilizotungwa na Bunge kama ilivyo sheria ya Uchaguzi. Hivyo Mamlaka ya Mahakama Kuu Zanzibar hayaondolewi wala hayapimiwi na Ibara ya 83 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano katika ngazi ya Mahakama Kuu.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Mahakama imeahirisha kesi hizo hadi tarehe 27 Januari 2026, kwa ajili ya kutoa uamuzi juu ya pingamizi la kikatiba lililowasilishwa na wanasheria kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IMETOLEWA NA IDARA HABARI NA UENEZI ACT WAZALENDO
Kama mngetaka kufanyia kazi kauli ya Nepi mliingia kwenye uchaguzi kwa nini?Kwani Nepi aliwaambia nani?
Tuliingia kwenye uchaguzi kutimiza haki yetu ya kikatiba. Kwani nyinyi muliosusia mulisusia kwanini? Na muliingia kwenye maandamano mukaiba, mukaharibu mali za umma na za watu binafsi kwanini? Hivi mkuu sawasawa?Kama mngetaka kufanyia kazi kauli ya Nepi mliingia kwenye uchaguzi kwa nini?
Angalia mwingine anayetumia kinyeo kufikiria, kama kulikuwa na mazingira bora kwa uchaguzi huru na haki mnaenda mahakamani kufanya nini?Tuliingia kwenye uchaguzi kutimiza haki yetu ya kikatiba. Kwani nyinyi muliosusia mulisusia kwanini? Na muliingia kwenye maandamano mukaiba, mukaharibu mali za umma na za watu binafsi kwanini? Hivi mkuu sawasawa?
Kati yangu na wewe ni nani anatumia kinyeo kufikiri? Ni wapi nimekuambia kulikuwa na mazingira bora kwa uchaguzi huru na haki? Sasa tumia akili timamu kusoma na kuelewa kilichoandikwa. Nasikia pande hizo mumesoma!!kama kulikuwa na mazingira bora kwa uchaguzi huru na haki mnaenda mahakamani kufanya nini?
Iran wanaandamana kupinga serikali dhulma ila mulioandamana hapa muliandamana kuiba, na kuharibu mali za umma na za watu binafsi. Je munalingana?Kupinga uchafuzi, wizi wa kura hadi mchakato wa uchaguzi kwa mwenye akili atafahamu inamaanisha nini, Iran wanaoandamana kupinga serikali dhulma.
Haya yalitokea wakati huyo unayemuita mwenzetu akiwa ndo mkuu wa nchi. Hivi kwa mnasaba huu wakati Mkapa alipoua kule Zanzibar nanyi mulifurahia kwasababu ni Mtanganyika mwenzenu? Nikuambie tu kwamba hatujafurahi ila hatufurahishwi kunasibishwa na yaliyotokea kwasababu ya Uzanzibari au aina yoyote iwayo ya ubaguzi.Ila nyie kwa sababu aliyeongoza mauaji ni mzanzibari mwenzenu mnakenua macho mkifurahia, wazanzibari ni masnitch.
Anayetumia kinyeo kufikiria bila wasi ni wewe na wazanzibari wapumbavu wenye akili kama zako sababu:Kati yangu na wewe ni nani anatumia kinyeo kufikiri? Ni wapi nimekuambia kulikuwa na mazingira bora kwa uchaguzi huru na haki? Sasa tumia akili timamu kusoma na kuelewa kilichoandikwa. Nasikia pande hizo mumesoma!!
Iran wanaandamana kupinga serikali dhulma ila mulioandamana hapa muliandamana kuiba, na kuharibu mali za umma na za watu binafsi. Je munalingana?
Haya yalitokea wakati huyo unayemuita mwenzetu akiwa ndo mkuu wa nchi. Hivi kwa mnasaba huu wakati Mkapa alipoua kule Zanzibar nanyi mulifurahia kwasababu ni Mtanganyika mwenzenu? Nikuambie tu kwamba hatujafurahi ila hatufurahishwi kunasibishwa na yaliyotokea kwasababu ya Uzanzibari au aina yoyote iwayo ya ubaguzi.
Kwa hivyo kama Iran waandamanaji wenye silaha walishambulia askari hii inahalalisha waandamanaji kushambulia askari hapa kwetu!! Mkuu umesoma sana kupitiliza. Huku kwetu tunasema "mno dhara"Hata Iran mali zimeharibiwa na kama unafuatilia habari utaona waandamanaji wenye silaha wakishambulia askari.
Ni kweli na tulifanya hivyo kutumia haki yetu kikatiba. Jee mulioiba na kuharibu mulitumia akili na kufikiri kwa kinyeleo?Kuna chama kilisema NO reforms no election. Kwa sababu waliona kwa mazingira haya hakuna uchaguzi huru, ila kwa sababu ya ubinafsi na kutokuwa na akili na hekima mkaingia kuhalalisha huu uchafuzi.
Kwahivyo nyinyi muliofurahia hamuna akili timamu? Sijahalalisha mauaji. Ninachokisemea ni kuzuia mauaji yaliyofanywa na waandamanaji, kuzuia wizi, na uharibifu wa mali.Hakuna yeyote mwenye akili timamu aliyefurahia mauaji ya 2001 labda kama mnataka kuhalalisha haya mauaji ya Samia mzanzibari.
Haya unayoyazungumza yamekuwa ndio sababu ya mgawanyiko awamu hii? Vipi ile iliyoitangulia hii? Hakukuwa na nepotism? Biteko na Polepole pamoja na wengine walikuwa ni Wazaramo? Bensaanane, Azori nk walipotea/walipotezwa na utawala huu? Siku zote kusema uongo kunahitaji mtu asiwe msahaulifu.Nchi imegawanyika kwa sababu ya Samia, nepotism, utekaji , mauaji na kupotezwa kwa wapinzani wa Samia na ufisadi mkubwa anaofanya na mwanae na watu wake
Haya ndo unayaona leo? Sisi tulishasema zamani. Nadhani pamoja na akili zako changa unajua au utakuwa umesikia yaliyotokea kwa Seif Sharif Hamadi. Huenda pia umesikia ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Nakushauri kasome kwanza kabla ya kujisifia ovyo, utaonekana kichekesho mbele za watu.Kwa hili limesababisha mapungufu ya muungano yamulikwe
Kinyeo kinareason badala ya akili, tuonyeshe hapa nchini muandamanaji gani aliyemshambulia askari?Kwa hivyo kama Iran waandamanaji wenye silaha walishambulia askari hii inahalalisha waandamanaji kushambulia askari hapa kwetu!! Mkuu umesoma sana kupitiliza. Huku kwetu tunasema "mno dhara"
Ni kweli na tulifanya hivyo kutumia haki yetu kikatiba. Jee mulioiba na kuharibu mulitumia akili na kufikiri kwa kinyeleo?
Kwahivyo nyinyi muliofurahia hamuna akili timamu? Sijahalalisha mauaji. Ninachokisemea ni kuzuia mauaji yaliyofanywa na waandamanaji, kuzuia wizi, na uharibifu wa mali.
Haya unayoyazungumza yamekuwa ndio sababu ya mgawanyiko awamu hii? Vipi ile iliyoitangulia hii? Hakukuwa na nepotism? Biteko na Polepole pamoja na wengine walikuwa ni Wazaramo? Bensaanane, Azori nk walipotea/walipotezwa na utawala huu? Siku zote kusema uongo kunahitaji mtu asiwe msahaulifu.
Haya ndo unayaona leo? Sisi tulishasema zamani. Nadhani pamoja na akili zako changa unajua au utakuwa umesikia yaliyotokea kwa Seif Sharif Hamadi. Huenda pia umesikia ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Nakushauri kasome kwanza kabla ya kujisifia ovyo, utaonekana kichekesho mbele za watu.
Hivi mimi ni mtumwa wa kukuonesha wewe muandamanaji? Hiyo si kazi yangu. Hapa ndo kikomo cha uwezo wako wa kufikiri!!tuonyeshe hapa nchini muandamanaji gani aliyemshambulia askari?
Punguza bangi mpumbavu wewe
Unaendelea kuonesha uzandiki na ujinga. CHADEMA gani iliyopiga kelele wakati kila mmoja akijifanya hayamhusu kwa vile waliouliwa ni Wazanzibari? Akili yako ya kifala inakudanganya.mtanganyika gani aliyefurahia mauaji ya 2001 wakati wanaharakati na watetezi wa haki za wananchi walilipigia kelele tena wakiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu?
Unajitia kimasomaso kwamba mulikemea wakati ule. Sasa si ni nyinyi munasema leo alikuwa shujaawa taifa?Wewe mjinga wakati wa Magufuli tulikemea, sasa huyu muuaji wa Kizimkazi kaja kuendeleza, kwa hiyo kwa akili za kizenji huyu ana haki ya kuteka na kuua watanganyika kwa sababu yeyote ile? PUMBAVU kama Samia.
Wakati ukijificha mgongo wazi kwenye tuwa la njugu, sisi tunajua yaliyokuwa yanaendelea. Biteko ni Mndengereko? Hivi unajua kweli?Mtoto, mkwe, binamu, mshenga wote wako kwenye Baraza la mawaziri, kwa hiyo Polepole mngoni alikuwa ana undigi wa damu na msukuma Magufuli?
Unauliza jibu? Maalim Seif aliuliwa na Watanganyika huko Tanganyika. Na hili eti hulijui!!! Mimi nazungumza mauaji na mateso aliyofanyiwa huko Tanganyika na sizungumzii CCM kama akili yako ndogo inavyokuambia.Kinyeo kinareason badala ya akili, tuonyeshe hapa nchini muandamanaji gani aliyemshambulia askari?
Punguza bangi mpumbavu wewe
Kinyeo kinaendelea kujenga hoja, mtanganyika gani aliyefurahia mauaji ya 2001 wakati wanaharakati na watetezi wa haki za wananchi walilipigia kelele tena wakiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu?
Mtoto, mkwe, binamu, mshenga wote wako kwenye Baraza la mawaziri, kwa hiyo Polepole mngoni alikuwa ana undigi wa damu na msukuma Magufuli?
Wewe mjinga wakati wa Magufuli tulikemea, sasa huyu muuaji wa Kizimkazi kaja kuendeleza, kwa hiyo kwa akili za kizenji huyu ana haki ya kuteka na kuua watanganyika kwa sababu yeyote ile? PUMBAVU kama Samia.
Maalim Seif aliteswa na kuuliwa na watanganyika? Mfumo wa wahafidhina wachache ndani ya CCM ndio wanaofaidika, na tatizo lako mfumo wa CCM unaona ni wa Tanganyika. Tanganyika tunaupinga mfumo huo, ila hapa wewe kwa ujinga wako unataka kuhalalisha mauaji ya dikteta Samia.