HahahahaπTunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life.
Ambapo alitoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.
Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital
View attachment 3565444
Unavyotoa alert wakati wote kama traffic πOne man down, sorry there's no man here.
Dah kumbe sister sikujua ,sema ananipandisha midadiSio jamaa huyu
Kuwa makini mkweeDah kumbe sister sikujua ,sema ananipandisha midadi
NaameUnavyotoa alert wakati wote kama traffic π
Huyu jamaa bana!!