lala chini wiki mbili na ukikaa usikalie mgongo hakikisha unakaa umenyoosha mgogo usijipinde hasa unapokaa kwnye sofa pendelea kukaa kwenye ofc/chair za mbao na kama umekaa mda mrefu ukiinuka fanya zoezi la kuinama unagusa vdole vya mguu kwa dk moja unainuka fanya hivo hata mara 20 tatizo kwisha dawa za hosp hutuliza tu maumivu pendelea kula matango la kienyeji pamoja ganda lake usimenye osha vzur tatizo lako litakwisha tango litakusaidia kuongea synvl fluid kwenye joint za disk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.