mgongo unaniuma sana

mgongo unaniuma sana

lillies

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
47
Reaction score
16
Doctor please advise nitumie dawa gani kuondoa tatizo hil?
 
Mimi nakushauri uende kwanza hospitalini ukaonane na Daktari halafu ndiyo urudi na jibu hapa
 
Kamtafute daktari wa mifupa...isijekuwa disc
 
unaumri gani? mara hili tatizo ni common kwa wanawake wazee/ walio koma hedhi
 
lala chini wiki mbili na ukikaa usikalie mgongo hakikisha unakaa umenyoosha mgogo usijipinde hasa unapokaa kwnye sofa pendelea kukaa kwenye ofc/chair za mbao na kama umekaa mda mrefu ukiinuka fanya zoezi la kuinama unagusa vdole vya mguu kwa dk moja unainuka fanya hivo hata mara 20 tatizo kwisha dawa za hosp hutuliza tu maumivu pendelea kula matango la kienyeji pamoja ganda lake usimenye osha vzur tatizo lako litakwisha tango litakusaidia kuongea synvl fluid kwenye joint za disk
 
Jamani hizi sofa zetu za uswazi ni hatari kwa viuno ma migongo, tuwe waangalifu tunapo zitumia.
 
Back
Top Bottom