Mgongolwa: Yanga itanufaika kwa kupewa alama 3 na fidia, sakata la Simba kugomea dabi ya Kariakoo

Hawa ndio huwajaza maji mashabiki mazwa zwa kwanini hawaisaidii yanga kushinda kesi za wachezaji wao huko caf!
 
Kumbe huyu Wakili bure kabisa! Yaani kosa lifanywe na bodi ya ligi adhabu apewe simba!
 
Nimemsikia huyu mzee,nadhani anaongozwa na hisia za ushabiki wa nyuma mwiko kuliko kuangalia kweli za kisheria

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wengi huko nyuma mwiko hamna akili,Simba walisema hawatapeleka timu uwanjani wahusika wote wasipochukuliwa hatua.
Inahitaji akili ya kuvukia barabara tu kujua iwapo hatua zingechukuliwa mapema Simba wangepeleka timu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mnaogopa kucheza na yanga., izo zingine ni blah blah tu
 
Kimsingi huyu nae amatulisha matango por.... Simba atapomonywaje pointi ikiwa wenye mamla wameihairisha mechi?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Hata WZIRI WQ MICHEZO "KABUDI" alituadanganya kuwa kwenye yale makinikia watanzani tutapata Noah 🚢🚢🀭
 
 
Hivi huyu mwasheria ameshinda kesi ngapi za Yanga?
Maana bla bla nyingi lakini uwezo wa kisheria hana.
Kukaa kimya kutamsaidia kuliko kupayuka
 
HIVI YANGA MNA UHAKIKA HUYU NI MWANASHERIA KWELI??

MAANA SIO KWA PUMBA HIZI ANAZOROPOKA ,KWA STAILI HII HATA MUENDE WAPI HAMUEZI SHINDA KESI.
 
Wakili ameibisha taaluma yake maksudi. Yanga wanapewaje point 3 ili hali timu zote hazikuwa uwanjani muda wa mchezo? Wanapewaje point 3 ili hali bodi ya ligi imetangaza kuufuta mchezo?
 
Kanuni inasemaje kuhusu kuhairisha mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…