Mgonjwa aishi siku 104 na moyo wa bandia unaoendeshwa kwa battery.

Mgonjwa aishi siku 104 na moyo wa bandia unaoendeshwa kwa battery.

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
1742173326648.png


Mgonjwa ambaye alikuwa anasubiri operation ya kupewa moyo mpya (heart transplant) aliwekewa moyo wa bandia ambao ulimsaidia kuishi siku 104 mpaka pale moyo mpya ulipopatikana na katika tukio la kwanza la aina yake aliweza kuondoka hospitali na kwenda numbani katika kipindi hiko.

Moyo huo umetengenezwa kwa vyuma vya titanium, inatumia sumaku kuendesha pump ambayo inazunguka ndani bila kugusa kuta za moyo, hii inapunguza msuguano na hatari ya vyuma kuchakaa, unaendeshwa na bateri ambayo unaivaa nje ya mwili.


View: https://www.youtube.com/watch?v=3mpXvW2Tj64&t=12s
 
Back
Top Bottom