Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic?

Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic?

manzabe g kimary

New Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
 
Usafi wa kila siku na hizo dawa ameze zote mpaka utakapoa kauka,ushauri wa daktari lazima uzingatiwe,otherwise kinakuwa septic...
 
Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
Pole,

Ndiyo, zinaweza kutumika.
LAKINI, ni muhimu kuonwa na mtaalamu ili kuangalia kulingana na size ya kidonda na tatizo la msingi.

Wakati mwingine waweza kuhitaji utaalamu zaidi kama surgical toileting/sloughing off au kuweka drainage kulingana na tatizo husika.

Husisha wataalamu karibu yako kama inawezekana. Maana tunatoa maoni bila kujua: kidonda cha size gani?
eneo lipi?
kina muda gani?
kiasi cha usaha?
nk.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Back
Top Bottom