M manzabe g kimary New Member Joined Jun 20, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Jun 20, 2022 #1 Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
Afro king JF-Expert Member Joined May 23, 2020 Posts 445 Reaction score 455 Jun 20, 2022 #2 Uwe unakisafisha kidonda kwa yuso na umeze amppricoxlin manzabe g kimary said: Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka Click to expand...
Uwe unakisafisha kidonda kwa yuso na umeze amppricoxlin manzabe g kimary said: Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka Click to expand...
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Jun 20, 2022 #3 Usafi wa kila siku na hizo dawa ameze zote mpaka utakapoa kauka,ushauri wa daktari lazima uzingatiwe,otherwise kinakuwa septic...
Usafi wa kila siku na hizo dawa ameze zote mpaka utakapoa kauka,ushauri wa daktari lazima uzingatiwe,otherwise kinakuwa septic...
Lukonge JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,469 Reaction score 2,086 Jun 20, 2022 #4 manzabe g kimary said: Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka Click to expand... Pole, Ndiyo, zinaweza kutumika. LAKINI, ni muhimu kuonwa na mtaalamu ili kuangalia kulingana na size ya kidonda na tatizo la msingi. Wakati mwingine waweza kuhitaji utaalamu zaidi kama surgical toileting/sloughing off au kuweka drainage kulingana na tatizo husika. Husisha wataalamu karibu yako kama inawezekana. Maana tunatoa maoni bila kujua: kidonda cha size gani? eneo lipi? kina muda gani? kiasi cha usaha? nk.
manzabe g kimary said: Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka Click to expand... Pole, Ndiyo, zinaweza kutumika. LAKINI, ni muhimu kuonwa na mtaalamu ili kuangalia kulingana na size ya kidonda na tatizo la msingi. Wakati mwingine waweza kuhitaji utaalamu zaidi kama surgical toileting/sloughing off au kuweka drainage kulingana na tatizo husika. Husisha wataalamu karibu yako kama inawezekana. Maana tunatoa maoni bila kujua: kidonda cha size gani? eneo lipi? kina muda gani? kiasi cha usaha? nk.