mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
Mleta mada ni mvuta bangi kutoka sakina arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvuta bangi Kuna madhara?Mleta mada ni mvuta bangi kutoka sakina arusha
Njoo pm mkuukama ni sakina apo silentini basi uyo jomba ni usalama na za chini chini kuna mtu tulikuwa tunamtafta na alikuwa kwenye salon mojawapo sakina
Basi itakua umetisha!Ni mimi ndo nilimyoa huyo kichaa na wembe huku chini kwa giriki ukipita matejoo kumbe alifika sakina?
Kuna mahali niomba msaada ndugu mchangiaji?
no no no!!!!!Njoo pm mkuu
HopelessHabari wakuu?
Iko hivi kwa ufupi,Mimi sio muandishi mzuri Kuna saloon napenda kunyoa pande flani za sakina arusha(nimetaja jina Ili kama Kuna Wana jf walioona wajazie nyama)
Pale saloon tulikua watu watano kinyozi alikua akimnyoa dogo mmoja na sisi watatu tumekaa kwenye sofa huku tukisubiria dogo anyolewe tufuate.
Mlango wa kuingia saloon uko kwa nyuma yetu so ukiangalia kule mbele kwa kinyozi unaona nyuma mtu anayezama ndani!
Sasa Mimi kuangalia mbele nikaona Kuna jomba mmoja mlemavu wa akili sisi tunaitaga vichaaa amevaa manguo mengi ametua mizigo yake hapo mlangoni machupa,mifupa na vitu sijui nini!!
Taratibu akasukuma mlango wa saloon akatinga ndani,alikua amenyoa nywele kama na wembe hivi upara ila kama amejikataka kichwani manake Kuna damu damu na mabaki ya nywele kama matuta!
Sasa alivyotimba tu wale wenzangu na mimi wote tukashtuka tukanyanyuka na kufreez tukasimama upande wa kinyozi!
Yule jomba akakaa kweli like sofa akajaa pale na manguo yake,hakuna aliyeongea zaidi ya kinyozi kuzima mashine na dogo aliyenyolewa upande wa kushoto na shuka lake na wote sisi kutoka nje ya saloon!
Baadae ya kutoka kinyozi anashika simu sijui anaupiga polisi au wapi,ikabidi niite raia kumchungulia jomba tunamuona kashika zile taulo za saloon anafuta kichwa chake,taulo zote zikawa nyeusi tiii!
Mwenyekiti akasema tumvungie,akatoka bila kugusa chochote akaokota mzigo wake hapo nje,mzito niliutesti haukosi kilo 20 akatembea zake!!!
Jamaa ilibidi afunge saloon saa ile ile juzi akaenda tafuta wachungaji na mafuta na machumvi anahisi ni mashetani!
Ndio hivyo ila mi sielewi
Ingekuwa enzi za kichaa Kejeri hawa wangejinyea hapo salon.Jomba hauko siriaz Yan kichaa kuingia saloon Ndo uandikie Uzi. Mim nshaona kichaa anakemea mapepo. Ingekua wew sijui ungefanyaje
Sorry namna ulivyoelezea kuhusu huyo jamaa mwehu mi nahisi mnapishana kidogo sana sijui unataka nini?
Halafu siyo Saloon, ni Salon. Saloon ni aina ya gari!Habari wakuu?
Iko hivi kwa ufupi, Mimi sio muandishi mzuri Kuna saloon napenda kunyoa pande flani za Sakina Arusha(nimetaja jina Ili kama kuna Wana JF walioona wajazie nyama)
Pale saloon tulikua watu watano kinyozi alikua akimnyoa dogo mmoja na sisi watatu tumekaa kwenye sofa huku tukisubiria dogo anyolewe tufuate.
Mlango wa kuingia saloon uko kwa nyuma yetu so ukiangalia kule mbele kwa kinyozi unaona nyuma mtu anayezama ndani.
Sasa Mimi kuangalia mbele nikaona Kuna jomba mmoja mlemavu wa akili sisi tunaitaga vichaaa amevaa manguo mengi ametua mizigo yake hapo mlangoni machupa, mifupa na vitu sijui nini.
Taratibu akasukuma mlango wa saloon akatinga ndani, alikua amenyoa nywele kama na wembe hivi upara ila kama amejikataka kichwani manake Kuna damu damu na mabaki ya nywele kama matuta.
Sasa alivyotimba tu wale wenzangu na mimi wote tukashtuka tukanyanyuka na kufreez tukasimama upande wa kinyozi.
Yule jomba akakaa kweli like sofa akajaa pale na manguo yake, hakuna aliyeongea zaidi ya kinyozi kuzima mashine na dogo aliyenyolewa upande wa kushoto na shuka lake na wote sisi kutoka nje ya saloon.
Baadae ya kutoka kinyozi anashika simu sijui anaupiga polisi au wapi, ikabidi niite raia kumchungulia jomba tunamuona kashika zile taulo za saloon anafuta kichwa chake,taulo zote zikawa nyeusi tiii.
Mwenyekiti akasema tumvungie, akatoka bila kugusa chochote akaokota mzigo wake hapo nje, mzito niliutesti haukosi kilo 20 akatembea zake.
Jamaa ilibidi afunge saloon saa ile ile juzi akaenda tafuta wachungaji na mafuta na machumvi anahisi ni mashetani!
Ndio hivyo ila mi sielewi
Poleni.Habari wakuu?