Mgonjwa wa akili aliingia saluni na kujifuta kichwa na taulo kisha akaondoka

Ni mimi ndo nilimyoa huyo kichaa na wembe huku chini kwa giriki ukipita matejoo kumbe alifika sakina?
 
Kuna mahali niomba msaada ndugu mchangiaji?

Umeandika habari za kichaa kufanya jambo la kushangaza, wakati vichaa hufanya mambo ya kushangaza kwa sababu ya shida ya akili...

Ingekuwa yote hayo yamefanywa na mtu mwenye akili timamu, basi kweli ingekuwa ni jambo la kushangaza...
 
Hopeless
 
"Tukafreeze nyuma ya kinyozi"
Hivi siku hizi hakunaga tena ile sheria ya kupitia mgambo kwa lazima kwa mujibu wa sheria?
 
Halafu siyo Saloon, ni Salon. Saloon ni aina ya gari!
 
Arusha huko mjue mwenzenu aliisha kunywa dawa.

Sasa wanaume watano mnaenda kujificha na kinyozi duuuu,

Na angejaza kimba humu na awaamrishe mzoe.

Wenzenu hapo kwa uhuru waliingia mjengoni hadi kubeba ngao, nyi mnafeli sana
 
Poleni.
Kwa jinsi ulivyoelezea ni dhahiri alikuja kumalizia huduma aliyojianzishia ya kujinyoa. Kajiswafi kasepa. Huyo aliyeenda kwa wachungaji ndio kichaa zaidi anaenda kuchapwa hela tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…