Mgonjwa wa akili aliingia saluni na kujifuta kichwa na taulo kisha akaondoka

Ni TISS huyo alikua anatafuta mhalifu
 
Vijana wa Arusha mmekuja kuwaje eroo...sasa hili nalo ni la kusimulia humu.
 
Arusha huko mjue mwenzenu aliisha kunywa dawa.

Sasa wanaume watano mnaenda kujificha na kinyozi duuuu,

Na angejaza kimba humu na awaamrishe mzoe.

Wenzenu hapo kwa uhuru waliingia mjengoni hadi kubeba ngao, nyi mnafeli sana
Ni rahisi mtu kusema Mimi kama mfungaji Bora ningefunga goli la wazi kabisa kuliko kutekeleza
 
Yani wanaume wanne mnamkimbia mtu mmoja!!

Hizi aibu zingine msiwe mnasimulia maana inaonekana hata angewaambia bong'oeni awapige pipe wote mngetii sheria bila shuruti.

Vijana mnatia aibu sana mpo legelege sana.
Ndio nashangaa tena wakakimbia mpk kwa mwenyekiti
 
Mods mnazingua kwanini kichwa Cha habari kisingebaki vilevile😐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…