malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali