Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute hajawahi kuuguzaQ az
Mkuu najua ila sio kwahuduma naziziona hapa ...hivi mkuu ww unataka kupata taarifa za maendeleo ya mgonjwa wako unamuuliza NES anakufokea anakufukuza anakujibu njoo bas umuhudumie ww hapo utasema kunahuduma
ye nesi pistol atakuwa hana??Ukute hajawahi kuuguza
Akaliona hilo wenge lake halafu nesi anakujibu vitu visivyoeleweka! Pole sana mkuu Mdogo ako tunamuombea dua njema apone...
Hapa bongo wakihalalisha Pistol wallah watu watakaokufa sana ni wauguzi
Atakua nayo hapo kazini akiwatishia wagonjwa wapone harakaye nesi pistol atakuwa hana??
Pole kwa kuuguza.Habari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Nafahami vizur tu kumuona daktr bingwa tu kwa cash ni 79000Unafahamu gharama za Agha Khan wewe au unatania. Mpeleke Mhimbili acha mchezo
Tunampa supu yakuku au samaki mboga za majani,matunda parachichi na tango,pia mayai yakienyejiCha kuongezea...mnampa chakula gani mgonjwa mnapomuuguza?
Umefanya vizuriMrejesho
Nimelazimika mgonjwa kumhamisha hospital,nimempeleka Shree hindu Mandal baada yakumfikisha emegergy madaktar wakamuangalia akafanyiwa vipimo upya kujua kwanin anachomwa insulin sukar inashuka 8 nakupanda sana Hadi 24 ...wamebaini anasumu nyingi sana mwilini imeotokana na sukar..wakasema huyu mgonjwa tulikua tunampoteza,,wakasema hospital ya serikali madaktar walikua wanahangaika kushusha sukar na nakuchoma isulin lakin hawakuwa wanatafakar kwanin sukari inapanda Tena ...Sasa wakabid wamtudikie drip haraka haraka nakumfanyia tiba ya haraka kutoa sumu mwilini ,anasumu mwlili mzima, mgonjwa kapelekwa ICU,
Madaktar wahizi hospital za umma za rufaa nichangamoto hawakubali kushindwa kitu Wala kushaurika maana tumeomba rufaa wakakataa kuwa eti hii case ni ndogo kwanin tutoe rufaa tutakua tumekimbia majukum..ikatubid tumuondoe tu bila rufaa tumeenda private
Mkuu tumejadiliana nao na tumewaomba sana rufaa wamekataa wanadai ni issue ndogo so tumelazimika kumuondoa mgonjwa bila rufaa tumempeleka private Hindi mandal...kufika Huku moja kwa mja ICU maana wamebaini sukari haishuki anasumu nyingi mwiliniPole kwa kuuguza.
Kwa hali ya mdogo wako, inahitajika u-makini kwenye tiba. Kwani hapo unatakiwa kuzingatia:
1: Hali ya maji mwilini
2: Hali ya madini mwilini
3: Hali ya pH mwilini
4: Hali ya figo
5: Hali ya moyo
6: Sukari yenyewe
Vitu hivi na vingine huparaganyika sukari inapokuwa juu kwa muda.
Usitarajie hali ya mgonjwa kurejea vyema kwa suala la sukari kuwa sawa. Kuna milinganyo inahitajika kufanyika kwa mazingira hapo juu na inahitaji muda na ujuzi.
Kama unaona hupati majibu yanayokuridhisha, pata msimamizi wa matibabu(clinical service coordinator). Ongea nae kwa karibu pata mrejesho wa hali ya mgonjwa na mtizamo wa wahudumiaji.
Kama kuna changamoto au hutaridhika, omba rufaa kwa Muhimbili au Private kulingana na hali ya kiuchumi. Muhimbili vs Aga Khan ni option nzuri.
Mkuu nazifahamu vizuri tu nanimeshatibiwa mara nyingi tu aga khanUnafahamu gharama za Agha Khan wewe au unatania. Mpeleke Mhimbili acha mchezo
Huyo ndugu Yako Alikua sukari yake inapanda mpaka ngapiKuna ndugu yangu umri unafanana na huyo alipona sukari kwa kufanya mazoezi.
☪ SIRAAJUL MUNIYR HERBS MEDICINE ☪Habari wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.
Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.
Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Habari wakuu,

Mkuu nimemuondoa nimempeleka private..Sasa hapo serikali daktar hataki kukupa maendeleo ya mgonjwa ukiuliza vitu anakua mkali..mgonjwa mda wote sukari inapanda nakushuka rufaa hataki kutoa Sasa hapo kama ndo ww mtu ufanyajeKuna possibility kubwa kwamba magonjwa wako amedevelop diabetic ketoacidosis acidosis,,,na huwa ni mtiti kupambana nayo kwaio kua humble kama ujaridhirika na huduma zao omba kuondoka naye na piaa skiliza madr wanachosema uswe na mawazo ya eti vile unavowaza kwamba apone Sasa hvii kumbuka matibabu ni process sio sio bubaaamtu kapona
Toa namba mkuuKuna mtu SUA Morogoro kama sijakosea ana dawa za sukari
Lwasasa sukari Yako ikoje inasomaje ukiwa umeluna na ukiwa hujalaKumshusha kutoka 34 hadi 18 wape hongera madaktari.
Sukari imelata hutegemea chakula mulichompa.
Na dawa za sukari si za kutumia mihemko. Ni lazima wampe then waangalie reaction ya mwili.
Kama unataka hospitali wamuover dose ili ishuke hadi iwe normal utamkosa mgonjwa.
Binafsi kwa mara ya kwanza kugundulika nina sukari ilikuwa ninekwenda kupima uti, but ghafla yule mtu wa maabara akaja kuniuliza kama nina ugonjwa wa sukari. Na baada ya kupima kwa mashine ukisoma 36.
Akashangaa kwa vipi iliweza kutembea mwenyewe.
Wakasema nilipaswa waniflash.
Kwa ufupi niloanza dawa ya kienyeji, mzizi wa mzamvarau dume, nikachanganya na mengi za mronge.
Nikaacha vyakula vyote na kuwa nakuba zaidi bagia za kunde, karaanya na korosho.
Atumie hivi baada ya wiki moja utanitafuta
Temeshajipapasa tumemtoa tumempeleka private Hindi mandaliMkuu jipapaseni mifukoni!