Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Mkuu umesema kama mwili haurespond bas kutakua Kuna kitu hakiko sawa ,,Sasa mkuu naona mgonjwa wangu mwili haurespond maaana japo anachoma isulin lakini Bado sukari Yako inachezea hapo hapo 18
Relax mkuu, sukari ya ndugu yetu itakaa sawa tu. Kumbuka huyu ni newly diagnosed DM tena imeenda mpaka kwenye complications hivyo lazima sukari ichezecheze sana.

Ila wataalamu watairegulate mpaka itakaa sawa msiwe na shaka..
 
Mkuu umesema kama mwili haurespond bas kutakua Kuna kitu hakiko sawa ,,Sasa mkuu naona mgonjwa wangu mwili haurespond maaana japo anachoma isulin lakini Bado sukari Yako inachezea hapo hapo 18
1. Punguza mhemko,
2. Relax

Usipokuwa makini, huyo ndugu utampoteza... Yani ndani ya siku tatu hizi Tayari ameanza kuchomwa insulin 🤔🤔
 
Mkuu pia akichomwa insulin mda huu mfano alafu akala mda huo huo baada ya masaa mawili akipimwa sukar inakua 13 au 14 lakin Sasa akija pimwa baada ya masaa manne sukari yake inarudi 18 nabaada ya dakika kadhaa anajiskia joto Hali inabadilika kabisa anakua mgonjwa mpaka wamchome insulin Tena pamoja na drip ndio anakaa sawa kidgo...ila i
Waambie wakusaidie kupima na hichi kipimo cha sugar :-
1. HB1AC
 
Relax mkuu, sukari ya ndugu yetu itakaa sawa tu. Kumbuka huyu ni newly diagnosed DM tena imeenda mpaka kwenye complications hivyo lazima sukari ichezecheze sana.

Ila wataalamu watairegulate mpaka itakaa sawa msiwe na shaka..
Shukran mkuu ubarikiwe
 
1. Punguza mhemko,
2. Relax

Usipokuwa makini, huyo ndugu utampoteza... Yani ndani ya siku tatu hizi Tayari ameanza kuchomwa insulin 🤔🤔
Kwani niulize hakutakiwa kuchoma insulin ama! Maana alikua nasukar ya 34 akawa hoi sukari ilizalisha sumu nyingi kwaiyo alianzishiwa dozi ya insulin...nauliza alitakiwa atibiwaje kwa unavofahanu
 
Relax mkuu, sukari ya ndugu yetu itakaa sawa tu. Kumbuka huyu ni newly diagnosed DM tena imeenda mpaka kwenye complications hivyo lazima sukari ichezecheze sana.

Ila wataalamu watairegulate mpaka itakaa sawa msiwe na shaka..
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako ngoja tuwe wavumilivu ...nauliza hivi atakuwa kwenye insulin moja kwa moja Hadi sukar itakapokaa sawa ataendekea hivo hivo na insulin au atabadilishiwa kuja kwenye vidonge ama nivip!
 
Mimi Ushauri Wangu wa Bule, Pale pale Amana hospital, Pembeni Kuna ka hospital kadogo kanaitwa Aviasion, Sasa Pale Kuna Dr Mmoja Alikuwa Dr pale hospital ya Amana Amestshafu Anaitwa Dr Abushiri, Nenda Pale Muhulize Utampata Ana Clinic yake ya Sukari Pale Aviasion hospital, Yeye Ndio Dr wa SUKARI, na Mimi Sukari Ninayo na Yule ni Dr WANGU, Please Mfuate pale Atakusaidia, Anajulikana Sana Dr Abushiri
 
Sio Lazima kwamba Ataendelea kutumia insulin, Cha MSINGI Sukari ikirudi Normal, Basi Afanye Mazoezi, then Afuatilie na Mpangilio wa Chakula, Dawa Sio issue kabisa, ni kufanya Mazoezi na kufuata MASHARTI, Akiendekeza kutumia Midonge hii ya Sukari, Moyo Utatanuka nahiyo itakuwa Case nyingine Kwa Umri Wake, huyo Dogo Wako Alifanya Mazoezi Atakuwa vizuri Tu
 
Sio Lazima kwamba Ataendelea kutumia insulin, Cha MSINGI Sukari ikirudi Normal, Basi Afanye Mazoezi, then Afuatilie na Mpangilio wa Chakula, Dawa Sio issue kabisa, ni kufanya Mazoezi na kufuata MASHARTI, Akiendekeza kutumia Midonge hii ya Sukari, Moto Utatanuka nahiyo itakuwa Case nyingine Kwa Umri Wake, huyo Dogo Wako Alifanya Mazoezi Atakuwa vizuri Tu
Asante kwa ushauri acha tusubirie atoke hospital aanze mazoezi Kila siku
 
Mimi Ushauri Wangu wa Bule, Pale pale Amana hospital, Pembeni Kuna ka hospital kadogo kanaitwa Aviasion, Sasa Pale Kuna Dr Mmoja Alikuwa Dr pale hospital ya Amana Amestshafu Anaitwa Dr Abushiri, Nenda Pale Muhulize Utampata Ana Clinic yake ya Sukari Pale Aviasion hospital, Yeye Ndio Dr wa SUKARI, na Mimi Sukari Ninayo na Yule ni Dr WANGU, Please Mfuate pale Atakusaidia, Anajulikana Sana Dr Abushiri
Sukari Yako inachezea ngap
 
23 To 18 Na Ninayo Miaka Mingi TU, Lakini Nafanya Sana jogging, Mbaka inashuka vizuri, na Vidonge Nimetupilia Mbali, Umri Wangu ni 59
Kwaiyo kwasasa sukari inachezea 18 ukiwa umekula au hata kama hujala
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako ngoja tuwe wavumilivu ...nauliza hivi atakuwa kwenye insulin moja kwa moja Hadi sukar itakapokaa sawa ataendekea hivo hivo na insulin au atabadilishiwa kuja kwenye vidonge ama nivip!
Ndugu yetu ana umri gani?

Kuna aina 2 za Kisukari, Type 1 na 2..

Type 1 huwa wanachoma Insulini maisha yao yote. Hawa ni wale ambao Kongosho zao hazizalishi homoni ya Insulini, hivyo miili yao haina Insulini kwa hiyo inabidi aipate kwa sindano.

Type 2 huwa wanatumia vidonge. Hawa ni wale ambao Kongosho inazalisha Insulin vizuri tu, ila seli za mwili hazina uwezo wa kuifyonza ile Insulin, hivyo inabidi sasa wapewe dawa zinazosaidia mwili kufyonza Insulin.

Kwa hiyo watamfanyia vipimo na watampa matibabu kulingana na aina ya Kisukari alicho nacho hapo juu.
 
Kwaiyo kwasasa sukari inachezea 18 ukiwa umekula au hata kama hujala
Sasa hivi Nikiwa nimekula inakuja Mbaka 9, Lakini IPO 7 kama Sijakula, na Ahijawahi kushuka kuwa Kawaida 5, na Point, Iko 7 na Nisipofanya Mazoezi Basi nikipima inakuwa 20 au 18 kwangu Sio kitu Cha Ajabu, ila ki Ukweli Naepuka Sana kutumia Yale Madawa, Maana Ishasababisha Baba, kaka Yangu MKUBWA, Dada yangu Mkubwa, kaka Mwingine na kakaYangu Ninayemfuatia Wote Walifariki, Ndio Baada ya kuona hivi IKABIDI nijiongeze Sana,- Na Clinic yangu ilikuwa AMANA- Nishazika Baba na kaka Zangu Wa 5 Kwa hiyo Sugar
 
Habari wakuu,

Nina mdogo wangu wa kiume Umri miaka 32 juzi gafla alizidiwa akawa hana nguvu kabisa jasho jingi, tukachukua jukumu la mpeleka hospitali ndogo ya mtaani akapewa drip ila wakamshindwa wakamrefferal Amana. Kufika Amana kapatiwa huduma Toka juzi saa tatu kufikia Jana saa tano asubuhi sukari ilishuka hadi 14, Sasa mara sukari imepanda Tena Hadi 18.

Huduma anazopatiwa za kitabibu kiukweli haziridhishi kabisa maana Hana mabadiliko kabisa na madaktari na manesi ni wakali hasa hawataki ujue maendeleo ya mgonjwa. Mfano wanaweza sema watakuja kumtoa damu wakapime hapo wanaweza chukua masaa 2 ndo mtu anakuja.

Nimekuja kwenu wakuu kupata msaada hospitali ipi bora nitapata huduma bora na yenye wataalamu wabobevu ktk sukari haijalishi ni hospitali ya private au serikali
Huyo anaelekea kwenye dka
 
Kwani niulize hakutakiwa kuchoma insulin ama! Maana alikua nasukar ya 34 akawa hoi sukari ilizalisha sumu nyingi kwaiyo alianzishiwa dozi ya insulin...nauliza alitakiwa atibiwaje kwa unavofahanu
Sijaona umhimu wa kuchomwa insulin huyo mgonjwa Aise.

Aina ya sukari
. Kuna ya kurith
. Wakati wa mimba
. Kufeli insulin ( hapa ndo sindano ya insulin hutumika, kwa sababu insulin inakuwa imeshindwa utendaji kazi
. Alafu kuna ya kunapata kwa sababu ya lifestyle

So,
Level ya mwisho ya Blood Sugar ni 33.3mmol/l..
Sasa sijajua hiyo 34 walipima kwa kipimo gani??? 🤔 🤔

Huyo mgonjwa ilitakiwa tu apewe drip ya ku lower sugar , then aendelee na dawa za sukari with non stop 🛑, bila kusahau kipimo cha blood pressure mara nyingi hivi vitu huwa vinaambatana.
 
Back
Top Bottom